Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,112
- 1,429
- Thread starter
- #121
Nashukuru sana kwa ushauriKwanza hati ya kiwanja haina mashahidi, sijui hapa unamaanisha mkataba wa mauziano au nini. Pili hati inabadilishwa majina kwa maana ya umiliki kwa makubaliano ya pande zote mbili. Tatu wewe ni bwege na huhudhurii vikao. Tulishasema don’t trust a woman. Wanawake wengi hutumia wanaume ili kuvushwa kwenye mambo yao. Kwenye hili bado nafasi ipo, nenda nae taratibu mbadili umiliki, tumia sana akili asihisi tofauti, vinginevyo ndio utaharibu kila kitu. All the very best