Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

unataka kuwa nani in future? kila combi ina uzr na changamoto zake. hapo ni interests & uwezo
 

Mkuu unanivunja mbavu; eti bishoo mnyoa kiduku na mvaa mlegezo. Nitamani kama nigekuwa na uwezo wa kuwapa kibano wavaa mlegezo, wananikera sana
 
dogo kapige CBG. kwanza inakuwezesha hata kusoma uhasibu kama tu mtu wa EGM. harafu hata ukipiga 4 form six unakuwa na future kuliko mtu wa EGM. mambo ya kusema soma upendacho ni ya kizamani sana.
 
EGM ni nzuri ndug kama una uwezo na adv.maths, just dare for more!
 
Sayansi bongo hailipi sana ndunguu....soma EGM ila inapaswa ujue EConomc na hesabu vizuri ndo utakula maisha
 
Kama unaipenda hesabu soma EGM, kama hauipendi bora usome CBG maana hesabu ya advance inahitaji mapenzi ya dhati. Hapo CBG haijatulia sana labda usome PCB kama imebalance vizuri. Naona cbg haina future nzuri

Oh really?? Nmesoma cbg and im a future geologist.Whats your definition of future nzuri?
 
Oh really?? Nmesoma cbg and im a future geologist.Whats your definition of future nzuri?

kama unataka kuwa geologist ni sawa, ni chaguo lako EGM inauwanja mpana wa ajira pia ukisoma EGM unaweza kuwa na machaguo mengi tu chuo, nilikuwa namaanisha hivyo.
 
kama unataka kuwa geologist ni sawa, ni chaguo lako EGM inauwanja mpana wa ajira pia ukisoma EGM unaweza kuwa na machaguo mengi tu chuo, nilikuwa namaanisha hivyo.
unajua mtu akisoma CBG anaweza chuo kusoma kozi za EGM?.
 
unajua mtu akisoma CBG anaweza chuo kusoma kozi za EGM?.

dogo usije kufanya kitu kama hiki , watu wengi wanaosma pcb ama cbg weng wanakuw na malengo ya kusomea mamb haya ya udaktari lakini necta bhana waache kama walivyo weng huw wanafeli sana mziki wa kusoma sio wakitoto matokeo yake wanashindwa kwenda vyuo vya maana kama muhimbili ama sua wanajikuta wanaingia gharama kubwa sana kusoma vyuo vya private kam kcmc kusomea hayo mambo y afya na wengne kusoma diploma na wengne wanaamua kusoma kozi tofauti kama unazosema wewe za egm hyo mbya sana dogo kozi za egm zinakuwga na mathematical concept(pure) kwahyo cbg wanaumia sana wanatumia nguvu nyngi kusoma hesabu wakati wenzao wanachanja mbuga kusom mamb mengn matokeo yake wanafeli sana na kupata gpa ya mbli na huo unakuw mwnz wa kuzunguka n bahasha kwa hyo dogo kama hesabu inapanda chukua egm ni rahsi kutoa umefeli sana una 3.15 kama mizengua afadhali chukua cbg kdgo inaunafuu ila jitaidi bam huisome sana ikiwezekana tumia vitabu ya pure mathematics kusoma topic za bam promise you in long term itakusaidia
 

true that...!
 
Kama unaipenda hesabu soma EGM, kama hauipendi bora usome CBG maana hesabu ya advance inahitaji mapenzi ya dhati. Hapo CBG haijatulia sana labda usome PCB kama imebalance vizuri. Naona cbg haina future nzuri

CBG mbona imetulia vizuri tu mkuu?au ina utata gani?
Application za CBG Baadhi ni Env. Health, microbiology,wildlife, foresty,food science,fisheries&acquaculture,molecular Biology&biotechnology,laboratory science,education(motherdiscipline),nursing etc. PCB na CBG wanatofautiana sehemu ndogo tu.
 
unajua mtu akisoma CBG anaweza chuo kusoma kozi za EGM?.

Ni kweli, mfano B.Comm. Inazoa watu wa combination nyingi, PCM,PCB,ECA,CBG,CBN,HGL,HGK.HKL,HGE,PGM, Tena kwa wasiofaulu Adv. Math,BAM e.g HKL,HGK,HGL wanaangalia ufaulu wa Basic Maths ya O-Level.
Isipokuwa CBG Hawezi kusoma B.A Economics
 

Hahaha yani wewe una mshauri mtu ambaye anasoma bam atumie vitabu vya pure maths,nahisi haujui nini maana ya biologia na kemia
 
soma CBG ,then nenda pale SUA ukasome BACHELOR OF VETERNARY MEDICINE inalipa sanaaa
 
Kwani unataka kufanyanini au kusomea nini chuoni? Lazima uwe na malengo usifuate tu mkumbo, fikiri toka moyoni wapi wewe unataka kwenda. Ndo maana watu wanapotea sana form 6 wakati form 4 wamepiga vizuri kwa kukosa malengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…