Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itategemea na shule utakayochaguliwa.Kuna baadhi ya shule hawaruhusu kubadilisha combination au kuna shule zenye aidha CBG lakini hamna EGM.Kama unaenda private school na una mapenz ya dhat na Mathematics bas soma EGM,ila wewe kama ni bishoo,mnyoa kiduku na mvaa mlegezo ujue utadifferentiate constant alafu hutatofautiana na alosoma HGE au HGK.
Una uhakika na usemacho?
Kama unaipenda hesabu soma EGM, kama hauipendi bora usome CBG maana hesabu ya advance inahitaji mapenzi ya dhati. Hapo CBG haijatulia sana labda usome PCB kama imebalance vizuri. Naona cbg haina future nzuri
Oh really?? Nmesoma cbg and im a future geologist.Whats your definition of future nzuri?
unajua mtu akisoma CBG anaweza chuo kusoma kozi za EGM?.kama unataka kuwa geologist ni sawa, ni chaguo lako EGM inauwanja mpana wa ajira pia ukisoma EGM unaweza kuwa na machaguo mengi tu chuo, nilikuwa namaanisha hivyo.
unajua mtu akisoma CBG anaweza chuo kusoma kozi za EGM?.
dogo usije kufanya kitu kama hiki , watu wengi wanaosma pcb ama cbg weng wanakuw na malengo ya kusomea mamb haya ya udaktari lakini necta bhana waache kama walivyo weng huw wanafeli sana mziki wa kusoma sio wakitoto matokeo yake wanashindwa kwenda vyuo vya maana kama muhimbili ama sua wanajikuta wanaingia gharama kubwa sana kusoma vyuo vya private kam kcmc kusomea hayo mambo y afya na wengne kusoma diploma na wengne wanaamua kusoma kozi tofauti kama unazosema wewe za egm hyo mbya sana dogo kozi za egm zinakuwga na mathematical concept(pure) kwahyo cbg wanaumia sana wanatumia nguvu nyngi kusoma hesabu wakati wenzao wanachanja mbuga kusom mamb mengn matokeo yake wanafeli sana na kupata gpa ya mbli na huo unakuw mwnz wa kuzunguka n bahasha kwa hyo dogo kama hesabu inapanda chukua egm ni rahsi kutoa umefeli sana una 3.15 kama mizengua afadhali chukua cbg kdgo inaunafuu ila jitaidi bam huisome sana ikiwezekana tumia vitabu ya pure mathematics kusoma topic za bam promise you in long term itakusaidia
Kama unaipenda hesabu soma EGM, kama hauipendi bora usome CBG maana hesabu ya advance inahitaji mapenzi ya dhati. Hapo CBG haijatulia sana labda usome PCB kama imebalance vizuri. Naona cbg haina future nzuri
unajua mtu akisoma CBG anaweza chuo kusoma kozi za EGM?.
dogo usije kufanya kitu kama hiki , watu wengi wanaosma pcb ama cbg weng wanakuw na malengo ya kusomea mamb haya ya udaktari lakini necta bhana waache kama walivyo weng huw wanafeli sana mziki wa kusoma sio wakitoto matokeo yake wanashindwa kwenda vyuo vya maana kama muhimbili ama sua wanajikuta wanaingia gharama kubwa sana kusoma vyuo vya private kam kcmc kusomea hayo mambo y afya na wengne kusoma diploma na wengne wanaamua kusoma kozi tofauti kama unazosema wewe za egm hyo mbya sana dogo kozi za egm zinakuwga na mathematical concept(pure) kwahyo cbg wanaumia sana wanatumia nguvu nyngi kusoma hesabu wakati wenzao wanachanja mbuga kusom mamb mengn matokeo yake wanafeli sana na kupata gpa ya mbli na huo unakuw mwnz wa kuzunguka n bahasha kwa hyo dogo kama hesabu inapanda chukua egm ni rahsi kutoa umefeli sana una 3.15 kama mizengua afadhali chukua cbg kdgo inaunafuu ila jitaidi bam huisome sana ikiwezekana tumia vitabu ya pure mathematics kusoma topic za bam promise you in long term itakusaidia
EGm iko safiii sana,piga iyo ufurahie maisha dogo