Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
Huo ni ushauri au majigambo?!. Watu bwana...Wadau salaam!
Naomba ushauri kati ya gari mbili hizo tajwa hapo juu ipi ni nzuri in terms of;
1.Utumiaji mafuta
2. Speed
3. Kudumu/Uimara
4. Spea/Service
5. Comfortability
6. Kutulia barabarani
NOTE:
Kwa mm si mpenzi wa toyota naomba nisipewe ushauri wowote kuchukua gari ya toyota kama mbadala. Kwa wale wajuzi wa gari hizi naomba ushauri wenu.
Mfano wa magari yenyewe ni kama haya hapa chini:
BMW 320i daah mwaka huu naivuta ndani
Naona alisahau kutoa ushauri ila kaonyesha kuipenda BMW nadhan indirect ndio ushauri wake japo hajatoa sababu.Huo ni ushauri au majigambo?!. Watu bwana...
Nina njaa mimi usiniulize hayo...Wadau salaam!
Naomba ushauri kati ya gari mbili hizo tajwa hapo juu ipi ni nzuri in terms of;
1.Utumiaji mafuta
2. Speed
3. Kudumu/Uimara
4. Spea/Service
5. Comfortability
6. Kutulia barabarani
NOTE:
Kwa mm si mpenzi wa toyota naomba nisipewe ushauri wowote kuchukua gari ya toyota kama mbadala. Kwa wale wajuzi wa gari hizi naomba ushauri wenu.
Mfano wa magari yenyewe ni kama haya hapa chini:
Mkuu nilisoma review za waingereza wanasema mbali na jina kubwa la bmw ila kwa sifa nyingi pamoja na gharama subaru ni best.Daah yaani BMW unailinganisha na vitu vya kijinga?
Naambiwa bmw running cost ni kubwa coz nilimuuliza mwenye nayo ila sijapata feedback kwa mwenye legacy b4BMW heshima kaka mkubwa bt spareparts ndo shida ila ukiweka utasahau mkuu wew hutaki gar ya kipekee mkuu
Pole sn kiongozi wangu, unahitaji kilo ngapi za unga ama mchele?Nina njaa mimi usiniulize hayo...
wilaya yangu nzima inahitaji tani 2000 kwa miezi 3 ya kusubiri mvua angalau mboga ziotePole sn kiongozi wangu, unahitaji kilo ngapi za unga ama mchele?
Sawa kiongozi basi badilisha hapo juu sema 'tuna njaa'wilaya yangu nzima inahitaji tani 2000 kwa miezi 3 ya kusubiri mvua angalau mboga ziote
Kwa nn ungechukua subaru mkuu?BMW ni gari nzuri sana ila mimi ningechukua Subaru.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nina njaa mimi usiniulize hayo...
Wacha ubwege wewe. Nenda kwa car dealers wakushauri! Husituletee ubishoo hapa!Huo ni ushauri au majigambo?!. Watu bwana...
Wadau salaam!
Naomba ushauri kati ya gari mbili hizo tajwa hapo juu ipi ni nzuri in terms of;
1.Utumiaji mafuta
2. Speed
3. Kudumu/Uimara
4. Spea/Service
5. Comfortability
6. Kutulia barabarani
NOTE:
Kwa mm si mpenzi wa toyota naomba nisipewe ushauri wowote kuchukua gari ya toyota kama mbadala. Kwa wale wajuzi wa gari hizi naomba ushauri wenu.
Mfano wa magari yenyewe ni kama haya hapa chini:
Sema ww buanaWacha ubwege wewe. Nenda kwa car dealers wakushauri! Husituletee ubishoo hapa!
Dah huu ni uthibitisho wa utafiti kuwa kati ya watu wanne mmoja ni kichaa!Wacha ubwege wewe. Nenda kwa car dealers wakushauri! Husituletee ubishoo hapa!
Oyaa! Kichaa nani?Dah huu ni uthibitisho wa utafiti kuwa kati ya watu wanne mmoja ni kichaa!