Naomba Ushauri: Kati ya BMW 3 Series 2006 model na Subaru Legacy B4 Sports 2006 model

Decentman samahani kama umekuwa offended. Nilisha own BMW 3 series manufactured 2006 lakini nikauza..Watu tumechacha hali ngumu! Hatahivyo, nitakushauri kwamba BMW 3 series ni gari reliable, fuel consumption ni fair, good cruiser katika motorway, ina strong shock absorber, powerful engine na easy to maintain. Sijui kuhusu Subaru lakini it is more about speed. Subaru inakimbia kuliko BMW na ina 6 sylinder.
Mh how much did you sell it, it believe you sold it at a very cheap price
 
Decentman samahani kama umekuwa offended. Nilisha own BMW 3 series manufactured 2006 lakini nikauza..Watu tumechacha hali ngumu! Hatahivyo, nitakushauri kwamba BMW 3 series ni gari reliable, fuel consumption ni fair, good cruiser katika motorway, ina strong shock absorber, powerful engine na easy to maintain. Sijui kuhusu Subaru lakini it is more about speed. Subaru inakimbia kuliko BMW na ina 6 sylinder.
umekua mstaarabu boss...i salute unajua hata kama nchi ina njaa haimaanishi mambo yote yasimame kaka
 
Waswahili wanasema hasiye kubali kushindwa si mshindani. Sasa mimi nimeona sikutumia ustarabu katika mawasiliano na Decentman, kwahiyo nimejirudi baada kujifanyia analysis binafsi.
 
Uko sahihi sana rafiki. Pia nilishauriwa hivyo na fundi mkuu wa noble motors. Basically bmw are high tech cars, full of sensors, very sensitive to minors faults. I short bmw are great cars for fat Cates.hahahah
Hahah kweli chief ndio maana wanaiita BLOW MY MONEY(BMW) kama huna huna fat wallet usijaribu Bmw,lkn ile gari ni heshima mtaani aisee.
 
Decentman samahani kama umekuwa offended. Nilisha own BMW 3 series manufactured 2006 lakini nikauza..Watu tumechacha hali ngumu! Hatahivyo, nitakushauri kwamba BMW 3 series ni gari reliable, fuel consumption ni fair, good cruiser katika motorway, ina strong shock absorber, powerful engine na easy to maintain. Sijui kuhusu Subaru lakini it is more about speed. Subaru inakimbia kuliko BMW na ina 6 sylinder.
Unaongelea BMW ipi mkuu ya kupitwa na subaru legacy?Labda kama unaongelea subaru wrx tena na yenyewe mara nyingine mpk iwe imefanyiwa tunning ya hatari la sivyo subaru haisogei.

Nikwambie kitu kimoja boss,watu wanasema Subaru inakimbia kuliko Bmw kwa sababu hakuna tajiri aliye tayari kukimbizana na cheap japanese sports car(subaru) kwa sababu ikitokea kitu kama ajali hio bmw gharama ya matengenezo sio mchezo aisee
 
You are right, umeongea point kwamba BMW huwa hazitumiki katika safari rally Kama Subaru. Subaru na BMW nyingi top speed ni between 140 na 150mph. Sema BMW engine power ni kati ya 125 mpaka 300 bhp, wakati engine power za Subaru ni kati ya 125 mpaka 200 bhp.
Subaru za mashindano zinakuwa special car designed for racing.
Kwahiyo Performance wise na jinsi BMW inavyo tengenezwa, kama inakuwa designed for racing Subaru haioni ndani.
 
Sawa mkuu wangu tuko pamoja kabisa kwenye hilo.
 
Hii ndio ushauri wangu.
Kama unataka gari itakayokufanya uonekane ni mtu kwa daraja la juu then chukua bmw. Angalizo ni kuwa uwe tayari kuvumilia kero za check engine light kuwaka mala kwa mala hata kwa sababu mdogo sana. Nimeshatumia bmw 1 series and 5 series na nilikuwa naheshimika sana job na mtaani but nilikuwa naendesha gari huku nina mawazo tere, ukiangalia dashi bord unaona taa ya check engine, taa ya pressure tyre, etc. Nilishazunguka kwa mafundi kibao wa bmw hadi pale noble motors (agent wa bmw tz) walichemka. Kimsingi bmw ni gari nzuri kwa maana ya heshima but they are pretty expensive to run.
To be more specific on bmw 3 series, it's a fuel economy car when compared to other series (except 1 series). The main challenge with bmw 3 series is the fact that they don't come with spare tyre. They normally come with run flat tyres which have proved failure in our environment.
Also the space for back seats is very small which makes a person seated at the back seats totally uncomfortable.
Also the ground clearing is very small in 3 series making it difficult to pass in rough roads.
In a netshell, if you're looking forward to impressing people that you're driving the most powerful brand and you've got money to maintain them then bmw is the right car for you as compared to Subaru.
Thanks
kuunganisha uzi..mimi ninatumia subaru legacy sport(hii haina turbo).
hii gari ina sifa zote ulizozitaja hapo juu.
tofauti na nyingine hii ina option ya auto manual(unaweza endesha kama auto au manual)
kwa upande wa spea parts, zipo zinapatikana. spea za subaru bei zake hazipishani sana na za Nissan. hata baadhi ya vifaa vinaingiliana.

Consuption 12-13km/litre

kwa ujumla ukiinunua subaru hutajutia (hasa kama matumizi yako yatakuwa ya kawaida)
 
Kwa nn ungechukua subaru mkuu?
Mkuu ningechukua kwasababu kwenye kila ulicho orodhesha kuanzia 1-6 when it comes to Subaru ni excellent.
Off road performances ziko poa
Fuel consumption iko poa
Spea ni za kumwanga
Comfortability ya hali ya juu haijaachwa na Beemer.
Na mengine mengi mazuri.
 
Me nazani mantiki ya mtu kuomba ushauri ju ya jambo flani siyo kujionesha. Hebu zingatia kila siku uamkapo, unaenda Mishe, unarudi na ka 20 kako au ka 10 kako, hapo hapo mwingine hana uwezo hata wa kupata buku mbili, sijawazungumzia wale wanao ingiza 1 m na zaidi per day ambao wapo juu zaidi kimapato, najua una jealous lakini ifiche moyoni iwe kama changamoto. Tafuta nawe ili ukifika mda wa kuomba ushauri wa kununua kabajaji nawe ujiachie kwa kuweka different review. Sasa MTU unahasira na maisha ya mwenzio, siyo vizuri. Uwanja mpana. Ukiona una demu mmbaya komaa umtafute mzuri moyo wako ulizike, ila ukijifunza kumpata mzuri mmoja , ujue utawataka wazuri wote. So jifunze kukomaa uikimbie njaa ili iwe rahisi kuyapa mawazo yako nawe uweze nunua BMW au Subaru. Maisha ni michongo. Badala ya kumdiss jamaa kwa kununua BMW au Subaru muulize kwa kipindi hiki anawezaje kufanya maendelea kama hayo? Sasa huna kitu unalia njaa. Mwenyewe nimetoka kunyw chai na tuvipande tuwili twa mkate, ila natamani pia kuwa Na Subaru au ka BMW. Mwana nipe mchongo.
Umesema yote mkuu! Aksante..
 
Hii ndio ushauri wangu.
Kama unataka gari itakayokufanya uonekane ni mtu kwa daraja la juu then chukua bmw. Angalizo ni kuwa uwe tayari kuvumilia kero za check engine light kuwaka mala kwa mala hata kwa sababu mdogo sana. Nimeshatumia bmw 1 series and 5 series na nilikuwa naheshimika sana job na mtaani but nilikuwa naendesha gari huku nina mawazo tere, ukiangalia dashi bord unaona taa ya check engine, taa ya pressure tyre, etc. Nilishazunguka kwa mafundi kibao wa bmw hadi pale noble motors (agent wa bmw tz) walichemka. Kimsingi bmw ni gari nzuri kwa maana ya heshima but they are pretty expensive to run.
To be more specific on bmw 3 series, it's a fuel economy car when compared to other series (except 1 series). The main challenge with bmw 3 series is the fact that they don't come with spare tyre. They normally come with run flat tyres which have proved failure in our environment.
Also the space for back seats is very small which makes a person seated at the back seats totally uncomfortable.
Also the ground clearing is very small in 3 series making it difficult to pass in rough roads.
In a netshell, if you're looking forward to impressing people that you're driving the most powerful brand and you've got money to maintain them then bmw is the right car for you as compared to Subaru.
Thanks
Nilishawahi kuwa na gari moja heshima kubwa mtaani ila cha moto nilikiona ktk kuirun..
Ngoja nitafakari which way should i take between the two!
 
Nna bmw 330ci convertible,it is very confortable,reliable lkn ukija kwenye maintainance cost lazima ukubali Germany machine inatafuna hela.

Kubadili oil tu sio mchezo,usiombe taa ya gari igongwe utajuta.Ila spare zake ni mkataba sana.
Loh hatari...
 
Decentman samahani kama umekuwa offended. Nilisha own BMW 3 series manufactured 2006 lakini nikauza..Watu tumechacha hali ngumu! Hatahivyo, nitakushauri kwamba BMW 3 series ni gari reliable, fuel consumption ni fair, good cruiser katika motorway, ina strong shock absorber, powerful engine na easy to maintain. Sijui kuhusu Subaru lakini it is more about speed. Subaru inakimbia kuliko BMW na ina 6 sylinder.

Mkuu thnx kwa ushauri wako lakini pia thanks kwa kuwa muelewa. Tupo pamoja..
 
1.Utumiaji mafuta - subaru 2.0l
2. Speed - bmw
3. Kudumu/Uimara - subaru
4. Spea/Service - subaru
5. Comfortability- bmw
6. Kutulia barabarani - bmw

hapa ni kama vile ngoma droo..ila me nakushauri chukua subaru hiyo bmw itakusumbua kama alivyosema jamaa any anormally hata iwe ndogo vipi itakuwashia taa kwenye dashboard,na kwa kila diagnosis mzee unaweka mpunga chini which is very rare kwa gari kama subaru...chukua subaru mzee if its speed you want chukua ya 2.5l plus turbo...kwenye suala la spea zote ziko juu ingawaje bmw ipo juu zaidi.ila kwa hii dola naona inavyopanda jaribu kucheki crown na markx maybeeee.
 
Back
Top Bottom