Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
- Thread starter
- #21
Hajijui so hamna sababu ya kumtaja..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajijui so hamna sababu ya kumtaja..
soma alama za wakati, Majority wanasema hali ni mbaya mitaani kudai ushauri kwa watu hao utazua yasiyo husika, nadhani hivyo. timing is all important. sometimes it is Not what you say but how, where, when and to whom you say it.Dah huu ni uthibitisho wa utafiti kuwa kati ya watu wanne mmoja ni kichaa!
Poa Decentman! Lakini navyojua Mimi mtu decent always anakuwa straight siyo double standard. Ni vema u point nani kichaa ili ashauriwe kwa matibabu au tumsalie maana wengine Mungu anasikiliza maombi yao.Hajijui so hamna sababu ya kumtaja..
Ni kweli lakini hakuna mtu aliyelazimishwa kutoa ushauri...na si vzr kuanza kukejeli mtu anapoanzisha uzi wake maana pia hujui anapata wapi na kwa namna gani pesa za kununulia mahitaji yake.soma alama za wakati, Majority wanasema hali ni mbaya mitaani kudai ushauri kwa watu hao utazua yasiyo husika, nadhani hivyo. timing is all important. Not what you say but how, where, when and to whom you say it.
Ni kweli lakini hakuna mtu aliyelazimishwa kutoa ushauri...na si vzr kuanza kukejeli mtu anapoanzisha uzi wake maana pia hujui anapata wapi na kwa namna gani pesa za kununulia mahitaji yake.soma alama za wakati, Majority wanasema hali ni mbaya mitaani kudai ushauri kwa watu hao utazua yasiyo husika, nadhani hivyo. timing is all important. Not what you say but how, where, when and to whom you say it.
Umenena vema kabisa. You were very logical and right to the point. Watu wana struggle na maisha mtu anaongelea BMW! Si maudhi hayo!?soma alama za wakati, Majority wanasema hali ni mbaya mitaani kudai ushauri kwa watu hao utazua yasiyo husika, nadhani hivyo. timing is all important. Not what you say but how, where, when and to whom you say it.
Poa Decentman! Lakini navyojua Mimi mtu decent always anakuwa straight siyo double standard. Ni vema u point nani kichaa ili ashauriwe kwa matibabu au tumsalie maana wengine Mungu anasikiliza maombi yao.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Poa Decentman! Lakini navyojua Mimi mtu decent always anakuwa straight siyo double standard. Ni vema u point nani kichaa ili ashauriwe kwa matibabu au tumsalie maana wengine Mungu anasikiliza maombi yao.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Basi mkeo akushauri! How about that?Ni kweli lakini hakuna mtu aliyelazimishwa kutoa ushauri...na si vzr kuanza kukejeli mtu anapoanzisha uzi wake maana pia hujui anapata wapi na kwa namna gani pesa za kununulia mahitaji yake.
Basi mkeo akushauri! How about that?
Hii ndio ushauri wangu.Wadau salaam!
Naomba ushauri kati ya gari mbili hizo tajwa hapo juu ipi ni nzuri in terms of;
1.Utumiaji mafuta
2. Speed
3. Kudumu/Uimara
4. Spea/Service
5. Comfortability
6. Kutulia barabarani
NOTE:
Kwa mm si mpenzi wa toyota naomba nisipewe ushauri wowote kuchukua gari ya toyota kama mbadala. Kwa wale wajuzi wa gari hizi naomba ushauri wenu.
Mfano wa magari yenyewe ni kama haya hapa chini:
kuleni maembewilaya yangu nzima inahitaji tani 2000 kwa miezi 3 ya kusubiri mvua angalau mboga ziote
so boss nao unapush nn?...aisee bima ni my dream car wacha tupush hv vitoyota ila once BONGO ikiwa ya viwanda lazima nivute bima hata ya kuendesha weekend.....hz brand nyengine wiki tu ishatoka kwe fashionHii ndio ushauri wangu.
Kama unataka gari itakayokufanya uonekane ni mtu kwa daraja la juu then chukua bmw. Angalizo ni kuwa uwe tayari kuvumilia kero za check engine light kuwaka mala kwa mala hata kwa sababu mdogo sana. Nimeshatumia bmw 1 series and 5 series na nilikuwa naheshimika sana job na mtaani but nilikuwa naendesha gari huku nina mawazo tere, ukiangalia dashi bord unaona taa ya check engine, taa ya pressure tyre, etc. Nilishazunguka kwa mafundi kibao wa bmw hadi pale noble motors (agent wa bmw tz) walichemka. Kimsingi bmw ni gari nzuri kwa maana ya heshima but they are pretty expensive to run.
To be more specific on bmw 3 series, it's a fuel economy car when compared to other series (except 1 series). The main challenge with bmw 3 series is the fact that they don't come with spare tyre. They normally come with run flat tyres which have proved failure in our environment.
Also the space for back seats is very small which makes a person seated at the back seats totally uncomfortable.
Also the ground clearing is very small in 3 series making it difficult to pass in rough roads.
In a netshell, if you're looking forward to impressing people that you're driving the most powerful brand and you've got money to maintain them then bmw is the right car for you as compared to Subaru.
Thanks
Nna bmw 330ci convertible,it is very confortable,reliable lkn ukija kwenye maintainance cost lazima ukubali Germany machine inatafuna hela.Naambiwa bmw running cost ni kubwa coz nilimuuliza mwenye nayo ila sijapata feedback kwa mwenye legacy b4
Rafiki nakubaliana nawe kuwa bmw is a great brand, nimeshatumia 1 and 5 series. People were admiring me like never before but nilikuwa natumia pesa sana kwenye maintainance. Hata hivyo 1 series and 3 series zina nafuu kwa kiasi fulan ukilinganisha na other bmw seriesso boss nao unapush nn?...aisee bima ni my dream car wacha tupush hv vitoyota ila once BONGO ikiwa ya viwanda lazima nivute bima hata ya kuendesha weekend.....hz brand nyengine wiki tu ishatoka kwe fashion
Uko sahihi sana rafiki. Pia nilishauriwa hivyo na fundi mkuu wa noble motors. Basically bmw are high tech cars, full of sensors, very sensitive to minors faults. I short bmw are great cars for fat Cates.hahahahBmw iliyopoa na ambayo haitakupa usumbufu unashauriwa kununua inayo range 5 years tangu ilipotengenezwa yaani kwa sasa iliyotengenezwa btn 2012-2017 hapo though kwa hali ya mtanzania ni ngumu kununua ya miaka hiyo lkn Jamaa wa pale Noble motors na Garage ya wachina walinishauri hivyo
Though gari yangu yenyewe ni ya 2006, nisingeweza kuafford za miaka hiyo ya karibuni.
Decentman samahani kama umekuwa offended. Nilisha own BMW 3 series manufactured 2006 lakini nikauza..Watu tumechacha hali ngumu! Hatahivyo, nitakushauri kwamba BMW 3 series ni gari reliable, fuel consumption ni fair, good cruiser katika motorway, ina strong shock absorber, powerful engine na easy to maintain. Sijui kuhusu Subaru lakini it is more about speed. Subaru inakimbia kuliko BMW na ina 6 sylinder.Ni sawa!