Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

Chukua yoyote kwakuwa gari zinatoka fashion mpya kila wakati don't tell me kwamba unataka uzeeke nayo
Unazungumzia kwenda na fashion ya magari kwa Magu ??!!!!
Hilo neno nimelifanananisha na maneno miezake kama kuita elfu buku, laki sii pesa, kuita mia tano jelo, yameshatolewa kwenye list yetu kitambo.
So nishauri gari ya kutumia hadi 2025!!!!!! Kati ya IST na carina T.I
Haha haaaaaa
 
Carina TI roho ya Paka ... Acha kufananisha Carina TI na Vitu vya Kijinga...

Go For Carina ... Mimi nikimuona mwanaume mzima amejipinda ndani ya KiVitz, Ist na vibaby walker vingine Huwa natamani niwe " I WISH I COULD BE TRAFFIC "
Haha haaaaa uuuwiiii!!!!! Ahsante mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] 2025 mbali sana herfick
 
chukua TI ni durable pia economy nakumbuka kuna kipindi nilikua dodoma jamaa yangu akaniazima nitumie mafuta ya sh kumi unasahau safari za kisasa to jamatini wiki nzima
Ahsante mkuu
 
Carina TI roho ya Paka ... Acha kufananisha Carina TI na Vitu vya Kijinga...

Go For Carina ... Mimi nikimuona mwanaume mzima amejipinda ndani ya KiVitz, Ist na vibaby walker vingine Huwa natamani niwe " I WISH I COULD BE TRAFFIC "
Sema i wish I cudu be
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…