Ukikaa sana gari moja utaanza kufanana nayo! Watch it!Naipenda ila kinachonichanganya jamaa angu mmoja kaniambia imekaa kama tax
Haha haaaa
And IST naiona kama ina mabati malaini sana kuimili ukata wa magu wa kukaa nayo hadi 2025
Nunua Subaru inasifa zote hizo.Wakuu nataka kuagiza gari kwakweli haya magari mawili nimeshindwa kuelewa lipi zuri
1. Kwa safari ndefu
2. Kudumu
3. Kutopitwa na wakati
4. Kuvumilia barabara zetu
5. Spare
6. Mafuta
7. Muonekano mzuri
N.k
Naomba ushauri wako
Hiyo chombo ni nyoko, Haikuwahi kunipa stress! though ina share vingi na Carina!Tafuta premio old model hio ndio gari iliyobaki inayovumilia ulivyoandika hapo juu
Naona kuna gari umeshaipenda maana unashauriwa unakuwa mbishi! Unafanya kazi gani labda tuanzie uko.Niweke huko mafuta na nini?
Yeah legacy b4Nunua Subaru inasifa zote hizo.
Dah!!!! Bonge ki2chukua lexus hii
Kagari kazuri sana. Bei gani?chukua lexus hii
Siyo mimi nimependa mkuu wengi hapa wanasema Carina T.i na hapa nilifata ushauri kati ya T.I na IST yote nayapenda.Naona kuna gari umeshaipenda maana unashauriwa unakuwa mbishi! Unafanya kazi gani labda tuanzie uko.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ...Carina kama Man Utd.....IST kama Chelsea.
Umerogwa wewe[emoji3] [emoji15] [emoji35]chukua lexus hii
Dude hilo kiboko ya matatizo ukifika watu wanajua fulani kafika.....Umerogwa wewe[emoji3] [emoji15] [emoji35]
Ivi unamaanisha gari hiiiWakuu nataka kuagiza gari kwakweli haya magari mawili nimeshindwa kuelewa lipi zuri
1. Kwa safari ndefu
2. Kudumu
3. Kutopitwa na wakati
4. Kuvumilia barabara zetu
5. Spare
6. Mafuta
7. Muonekano mzuri
N.k
Naomba ushauri wako