Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

Naona umekosea kupambanisha, kama upo comfortable na IST, nadhani utakuwa vomfortable pia na Starlet.

So kwa sifa hizo nakushauri chukua starlet. Hapo hakuna carina wala nani atatia mguu, pia kama mshana alivyosema IST ni Ladish, Starlet ni opposite, hii starlet ni Gentlemenish.

Hahahaaaaaa
 
Hizo gari wengi wanazikimbia kwasababu ulaji wake wa mafuta sio mzuri kaka..
Akhsante kwa ufafanuzi mkuu japo maneno mengi ya unywaji wa mafuta unaozungumziwa wa hiki chombo ni tofauti na uhalisia, ila kwa kwa kizazi cha Passo cha kuweka mafuta ya elfu tano lazima waiogope hii chombo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
96da57a2e0340de01240b898e1de6f19.jpg
98490064623eadb0119fe3149187e4c2.jpg
 
I wish I could be Kamanda Mpinga....

Hivi vi Baby walker Sijui Ist,Porte na Vitz ningevipiga marufuku ni hatari kwa matumizi ya mwanaume lijali.... Na Mara uonekapo ukiwa umebunda ndani ya vigari hivyo utachapwa fimbo hadharani mbele ya wanaume wenzako kwa kutudhalilisha ...
 
Kwa mafuta chukua ist ila kwa mengine ti inahusika zaidi
 
Wakuu nataka kuagiza gari kwakweli haya magari mawili nimeshindwa kuelewa lipi zuri
1. Kwa safari ndefu
2. Kudumu
3. Kutopitwa na wakati...
Carina T I
Kuna engine aina mbili 5A, cc 1490, na 7k cc 1790 ulaji wa mafuta upo tofauti kidogo ila kwa matumizi mazuri nunua 5A.

IST
Kuna engine mbili 1NZ cc 1490, na 2NZ cc 1290 ulaji wa mafuta upo tofauti kidogo ila kwa matumizi mazuri unaweza nunua 2NZ.

NB; IST zingine unaweza kukuta engine 2SZ nayo ni cc 1290.

Cc uwezo wa engine/ engine capacity

Gari zote mbili zinadumu ila inategemea na matunzo yako binafsi, hata ukipewa gari chuma tupu kama tractor kama haufanti service lazima itakufa tu. So service ndio muhimu katika gari.
 
I wish I could be Kamanda Mpinga....

Hivi vi Baby walker Sijui Ist,Porte na Vitz ningevipiga marufuku ni hatari kwa matumizi ya mwanaume lijali.... Na Mara uonekapo ukiwa umebunda ndani ya vigari hivyo utachapwa fimbo hadharani mbele ya wanaume wenzako kwa kutudhalilisha ...
Kuna gari moja inadharaurika sana. Ni zaidi ya baby walker, na ina cc ndogo 1300 lakin barabaran wenzake ni VXR V8, Inaitwa RACTIS
 
Kuna gari moja inadharaurika sana. Ni zaidi ya baby walker, na ina cc ndogo 1300 lakin barabaran wenzake ni VXR V8, Inaitwa RACTIS
Acha kujiaibisha basi ndugu,still a rookie.
 
Carina TI roho ya Paka ... Acha kufananisha Carina TI na Vitu vya Kijinga...

Go For Carina ... Mimi nikimuona mwanaume mzima amejipinda ndani ya KiVitz, Ist na vibaby walker vingine Huwa natamani niwe " I WISH I COULD BE TRAFFIC "
Wenzako Tunanunua na kutumia Gari wanazo vutiwa wanawake kwasababu tunataka tukuchapie mkeo na vibinti vyako pamoja na dada zako maana wao wakiona ist wanakupa saruti wewe sijui unanunua hama sijui nini hayana mvuto Kwa wanawake ili wanaume wakusifie hapo kuna mawili utakuwa basha au utakuwa shoga
 
Hizo trick aliziweza baba yako kwa mama yako, you are nothing to get my wife.

Hongera kwa kurithi mbinu za zamani za mshua wako.
 
Back
Top Bottom