Ukifanikiwa ujue ni kwa kuwa unapenda na wengine wafanikiwe...hongera mdau kwa kumpa jibu zuri muanzisha mada, mungu akubariki sana wengi tunajifunza kupitia michango ya mawazo kama hii.Hello lucy, me ndo nimeanza rasmi hii biashara, mtaji nimeanza na 10m duka ni kigamboni dar es salaam, mzigo nimechukua kariakoo duka linaitwa sayuni lipo cate hotel.. hili duka lauza spea kwa bei nzuri, na kwa mtaji wa m10 kwa duka la spea za pikipiki na bajaji duka linakua linapendeza na unakua na spea zote za muhimu... Pia dukan kuna kama gereji kwa ajili ya kutengenezea pikipiki(kumbuka hii biashara inabidi uwe na fundi mzuri unamuiba mahala anakua anafanyia ufundi wake dukani kwako.. fundi humlipi analipwa na wanaokuja kutengeneza vyombo vyao.. na kijiwe kikichangamka fundi anatakiwa akupe kiasi fulan kwakua gereji ni yako..
Nb; fundi wengi wanapenda duka lenye vitu vyote ili kuwe na uhakika wa kazi..
Pia inapendeza ukiweka na compressor ya kujazia upepo ili kazi za panja zifanyike.. mengine ntashare kadiri navo pata uzoefu..
Kwenye upande wa kutafuta fundi aje afanye kazi kwenye duka lako inategemeana na aina ya fundi, kama mafundi wakongwe wanaojulikana wenye wateja wengi ni lazima umlipe kiasi flani kwa maana unavyomhamisha kwenye ofis yake ya mwanzo anahama na wateja wake anakuletea ww je ww unakua na kipi cha kumshawishi mpaka ahame kwenye ofs yake ya zaman na aje kwako, ni hivyo kwa hyo kwa 75% ya fundi kumlipa mwenye duka ni ngumu, kiasi ila pia inategemeana na aina ya fundiHello lucy, me ndo nimeanza rasmi hii biashara, mtaji nimeanza na 10m duka ni kigamboni dar es salaam, mzigo nimechukua kariakoo duka linaitwa sayuni lipo cate hotel.. hili duka lauza spea kwa bei nzuri, na kwa mtaji wa m10 kwa duka la spea za pikipiki na bajaji duka linakua linapendeza na unakua na spea zote za muhimu... Pia dukan kuna kama gereji kwa ajili ya kutengenezea pikipiki(kumbuka hii biashara inabidi uwe na fundi mzuri unamuiba mahala anakua anafanyia ufundi wake dukani kwako.. fundi humlipi analipwa na wanaokuja kutengeneza vyombo vyao.. na kijiwe kikichangamka fundi anatakiwa akupe kiasi fulan kwakua gereji ni yako..
Nb; fundi wengi wanapenda duka lenye vitu vyote ili kuwe na uhakika wa kazi..
Pia inapendeza ukiweka na compressor ya kujazia upepo ili kazi za panja zifanyike.. mengine ntashare kadiri navo pata uzoefu..
Ni kweli ukisemacho,, mie nilipoweka ofisi fundi hato nilipa chochote, ila kuna office fundi pia allnalipa kidogo kwa mwenye gereji, but these are just business models ambazo zinakua determined factors mbalimbali kulingana reputation ya duka..Kwenye upande wa kutafuta fundi aje afanye kazi kwenye duka lako inategemeana na aina ya fundi, kama mafundi wakongwe wanaojulikana wenye wateja wengi ni lazima umlipe kiasi flani kwa maana unavyomhamisha kwenye ofis yake ya mwanzo anahama na wateja wake anakuletea ww je ww unakua na kipi cha kumshawishi mpaka ahame kwenye ofs yake ya zaman na aje kwako, ni hivyo kwa hyo kwa 75% ya fundi kumlipa mwenye duka ni ngumu, kiasi ila pia inategemeana na aina ya fundi
Na - subscribe huu uzi kwa ajili yako chief, nina ndoto ya kufanya biashara ya spares, nitaanza na pikipiki ndio nije magari.. tafadhali usiache kutupa mawili matatu kadri utakavyoweza, hapo tu kwenye mtaji umenisaidia sana mkuuHello lucy, me ndo nimeanza rasmi hii biashara, mtaji nimeanza na 10m duka ni kigamboni dar es salaam, mzigo nimechukua kariakoo duka linaitwa sayuni lipo cate hotel.. hili duka lauza spea kwa bei nzuri, na kwa mtaji wa m10 kwa duka la spea za pikipiki na bajaji duka linakua linapendeza na unakua na spea zote za muhimu... Pia dukan kuna kama gereji kwa ajili ya kutengenezea pikipiki(kumbuka hii biashara inabidi uwe na fundi mzuri unamuiba mahala anakua anafanyia ufundi wake dukani kwako.. fundi humlipi analipwa na wanaokuja kutengeneza vyombo vyao.. na kijiwe kikichangamka fundi anatakiwa akupe kiasi fulan kwakua gereji ni yako..
Nb; fundi wengi wanapenda duka lenye vitu vyote ili kuwe na uhakika wa kazi..
Pia inapendeza ukiweka na compressor ya kujazia upepo ili kazi za panja zifanyike.. mengine ntashare kadiri navo pata uzoefu..
Karibu.. mie kwasasa nimeka na vya bajaji pia lubricants na filters kwa ajili ya service ya magari..so najipa matumaini hii diversification itanisaidiaNa - subscribe huu uzi kwa ajili yako chief, nina ndoto ya kufanya biashara ya spares, nitaanza na pikipiki ndio nije magari.. tafadhali usiache kutupa mawili matatu kadri utakavyoweza, hapo tu kwenye mtaji umenisaidia sana mkuu
Diversification ni kitu kizuri sana, asante sana new generation hakika tutakuja kubadilishana mawili matatuKaribu.. mie kwasasa nimeka na vya bajaji pia lubricants na filters kwa ajili ya service ya magari..so najipa matumaini hii diversification itanisaidia
Shukrani sana namim nimepata kituNi kweli ukisemacho,, mie nilipoweka ofisi fundi hato nilipa chochote, ila kuna office fundi pia allnalipa kidogo kwa mwenye gereji, but these are just business models ambazo zinakua determined factors mbalimbali kulingana reputation ya duka..
Ila kwa anae-anza nadhan issue ya bei ya manunuzi ni ya muhimu sana ili wakati unaanza baishara hii uanze kwa bei itayovutia wateja.. bodaboda wengi wanapenda kupata spea kwa bei rahisi, sasa kama manunuzi yatakua bei juu utalazimika kuuza kwa bei ya juu, so hapa ukiwa una anza unaweka bei ya chini ili kutengeneza jina na volume ya biashara.. kumbuka biashara ya spare za pikpiki ni volume based.. ukiwa na mzunguko hata kama margin ni ndogo unapata kitu..
Hivo ni bora anaenza afanye research ya eneo anapotaka kuweka biashara aangalie gharama za frame (kodi), washindani wakoje, eneo linafaa kwa hiyo biashara? garama za awali za kutengeneza frame(hapa inategemea na mtu anataka frame iweje), pia kuna hawa jamaa wa tra na manispaa,, pia ni vitu gani vya muhimu kuanza navyo ambavyo ni fast moving ili kutengeneza mzunguko.
Vingine ntakua naleta mrejesho kadiri ntavokua napata uzoefu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukifanikiwa ujue ni kwa kuwa unapenda na wengine wafanikiwe...hongera mdau kwa kumpa jibu zuri muanzisha mada, mungu akubariki sana wengi tunajifunza kupitia michango ya mawazo kama hii.
Wale wapuuzi wa kukomenti kuwa wamewahi siti ya mbele sijui huwa wanajiskiaje!?
Hello lucy, me ndo nimeanza rasmi hii biashara, mtaji nimeanza na 10m duka ni kigamboni dar es salaam, mzigo nimechukua kariakoo duka linaitwa sayuni lipo cate hotel.. hili duka lauza spea kwa bei nzuri, na kwa mtaji wa m10 kwa duka la spea za pikipiki na bajaji duka linakua linapendeza na unakua na spea zote za muhimu... Pia dukan kuna kama gereji kwa ajili ya kutengenezea pikipiki(kumbuka hii biashara inabidi uwe na fundi mzuri unamuiba mahala anakua anafanyia ufundi wake dukani kwako.. fundi humlipi analipwa na wanaokuja kutengeneza vyombo vyao.. na kijiwe kikichangamka fundi anatakiwa akupe kiasi fulan kwakua gereji ni yako..
Nb; fundi wengi wanapenda duka lenye vitu vyote ili kuwe na uhakika wa kazi..
Pia inapendeza ukiweka na compressor ya kujazia upepo ili kazi za panja zifanyike.. mengine ntashare kadiri navo pata uzoefu..
Kuna uzu humu kama huu ulikua na madini ya kutosha

Nina mwaka wa pili naagiza mkuu karibuKaka unafahamu lolote kuhusu kuagiz mzigo china?? Mana huko nasikia kupigwa nje nje
Una connection yoyote??