Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

Hiki ndo kipengele lazma ujue spare
 
Mi nilisomaga Uzi wa hii biashara humu humu nikaanza na mtaji wa milioni 6 mwaka 2018.Hii biashara Ni nzuri sn mpk ss imenisaidia nimejenga nyumba 2 mpk ss.Kwa changamoto yyt utakayopata unaweza kuuliza karibu
Kipindi unaanza hii biashara ulikuwa na ufundi wowote
 
Niko Mafinga-Mufindi, napambania kufungua Ofisi,duka lipi Ntapata spare za boxer na TVS?
 
Mkuu naomba mawasiliano yako inbox, natamani nianze biashara hii naomba nijifunze kwako!
 
Mkuu unaendeleaje? naomba mawasiliano yako natamani kuingia kwenye biashara hii!
 
Kwa yeyote anayepatikana maeneo ya KAHAMA na anajihusisha na hii biashara naomba kujua yafuatayo kuhusiana na hii biashara:

1. Location ambayo ukiweka biashara hii unaweza kupata walau faida japo kidogo

2. Kiasi Cha chini Cha mtaji ambao mtu anaweza kuanza nacho

3. Maduka ya jumla yanayouza spare za pikipiki Kwa bei nafuu

4. Changamoto zisizokwepeka katika biashara hii

5. Ushauri wowote juu ya hii biashara Kwa maeneo ya KAHAMA

Hakika nimekusudia kuanzisha hii biashara KAHAMA mwaka 2025 .
 
Mi nilisomaga Uzi wa hii biashara humu humu nikaanza na mtaji wa milioni 6 mwaka 2018.Hii biashara Ni nzuri sn mpk ss imenisaidia nimejenga nyumba 2 mpk ss.Kwa changamoto yyt utakayopata unaweza kuuliza karibu
Hongera kaka unapatikana wapi
 
Upo kigamboni sehemu gani mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…