moe junior
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 904
- 937
mkuu kwema? nahitaji kuonana na wewe chief nawezaje kukupata?Naendelea Vyema kaka nilianza mapema February na mtaji wa 5m na maendeleo ni makubwa sana namshukuru Mungu,,,ingawa hapo kati changamoto kubwa nimekumbana nayo ni mafundi tu ila nimejifunza sana na kuadvance
Pia muda huo nimejifunza kukisoma na kuelewa kila spea kwenye pikipiki zote kuanzia boxer,tvs,haoujue,gn za kawaida n.k spea zake, inavyofanya kazi na mahali inapofungwa.
Kiufupi biashara ni nzuri sana ila inahitaji umakini sana na eneo zuri lenye mzunguko wa kutosha faida lazima uione.