Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka vile namwona shemeji yetu anakunjwa mithili ya KIWETE. Jamaa wa bodaboda na dereva wanajuwa namna ya kuwakunja vizuri sana.Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Kugongewa kunauma sana na mkeo hana tena hisia na ww hata ukimsamehe bado ataendelea kumpa utamu franc hata iweje sababu hisia zake zipo kuleNipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Bro nakuelewa unachokipitia kwakua pia ni muhanga... Laiti ungeniahirikisha kabla ya kugundua ningekwambia usimchunguze ili ubaki na nusu amani.Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

KOSA ILI HAPABasi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Duh, watu nyie katili sana!Wewe huna mchepuko?
✍️ The choice is yours...Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Mwanamke akiisha kucheat achana naeNipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Wala siyo ukatili. Ni uhalisia tu wa mambo.Duh, watu nyie katili sana!
Pole sana Mkuu sisi wanaumw ni wahanga sana kwenye dunia hiiNipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Keshamwambia huyo bodaboda wa daladala kwamba mmeachana mnalea watoto tuu, sasa unataka ushauri gani tena?Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.