GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
PIGA CHINI MARA MOJA HUYO MSALITI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina experience na hili kwa hiyo angalia moyo wako unataka niniKataa ndoa wanachukua point tena hapa! Wanawake jamani! Kufuatilia haya mambo ya hawa viumbe ni kujiumiza tu! Hapo ukute wewe inakula kistaarabu sasa li dereva hiace linambinua mpaka miguu inagusa dari! Utumbo nje nje! Uamuzi unao wenyewe maana umejiingiza kwenyemfumo wewe .wenyewe! Hapo umembana amesema.mara 2 ukimbana zaidi atasema mara 3 na kuendelea! Hapo mkuu inagongwa kila siku!
🤣🤣🤣Kwanini jukwaa la mapishi mkuuWe jamaa uliye anzisha uzi .. kuna jamaa anakutafuta kule jukwaa la mapishi....
Kapirience gani mkuu! Hebu weka ushuhuda hapa watu waokoke! Hata mimi nilishawahi kuchepuka na Manzi ya mtu sitaki tena huo ujinga aisee! Hadi huruma! Sasa kama na wa kwetu wanafanyiwa hivyo Mungu atusamehe tu!Nina experience na hili kwa hiyo angalia moyo wako unataka nini
Ndio tutaelewana tuu.....hakuna mwanaume tz demu au mkewe hatombwii 🤣🤣🤣🤣🤣Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Ukute hata chumbani kwa jamaa mkum.. ulishapigiwa huko! Kwa vile jamaa amejiingiza mwenyewe kwenye mfumo bora afanye maamuzi mwenyewe!Kwa wanawake wa kisasa hawa ma braza ni afadhali tu ukomae na mkeo maana kama wanavyosema wenyewe "it rains ALMOST everywhere"...
View attachment 3176736
Kwa huyo mwendesha daladala, baada ya miezi mitatu nenda ukapime UKIMWI maana possibility kubwa jamaa hakutumia kondomu; na hao jamaa ni wahuni balaa! Ukikuta hakuna maambukizi shukuru Mungu 🙏🏿
Kama utakuwa umepoteza trust mazima nenda pia ukawapime hao watoto ili ujue kama ni wako kweli...
View attachment 3176740
Na mwisho kabisa: Je, wewe huna michepuko huko kazini kwako? Kama unayo jichunguze na ujipeleleze mwenyewe na Mungu wako. Naamini Atakupa jibu sahihi kuhusu nini cha kufanya. Ila kumbuka kwamba mkeo wa ndoa katombwa na mwendesha Hiace hapo hapo sebuleni nyumbani kwako. Likumbuke hilo unapofikiria la kufanya.
Pole sana na Mungu Akusaidie 🙏🏿
Sijajua ila walikua wanazungumzia lishe ya mtoto chini ya miaka miwili🤣🤣🤣Kwanini jukwaa la mapishi mkuu
Mkuu nilishawahidate na mke wa mtu na nilipita nae mara nyingi sio geto sio kwake lakini mwisho wa siku kabanwa na jamaake baada ya kuona dalili za ajabu kwa mke wake na manzi akamwambia ametoka na mimi mara mbili lakini kiufupi ni zaidi ya mara 5 guess what niliponea chupuchupu yaani sasahivi sitaki kitu inaitwa mke wa mtu🙌🙌get the lesson hereKapirience gani mkuu! Hebu weka ushuhuda hapa watu waokoke! Hata mimi nilishawahi kuchepuka na Manzi ya mtu sitaki tena huo ujinga aisee! Hadi huruma! Sasa kama na wa kwetu wanafanyiwa hivyo Mungu atusamehe tu!
🤣🤣🤣Sijajua ila walikua wanazungumzia lishe ya mtoto chini ya miaka miwili
😄😄😄🙌🙌
Kinachowaponza wanawake kufanya hayo ni tamaa wala sio fedha au mavazi.Kwa kuwa unampenda msamehe na ajue kuwa unamaanisha kweli.Hii itamjenga upya kuwa alifanya upumbavu kwa mtu mwenye kwake.Na yule kijana msamehe ili uwe na amani.Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
AiseeBro nakuelewa unachokipitia kwakua pia ni muhanga... Laiti ungeniahirikisha kabla ya kugundua ningekwambia usimchunguze ili ubaki na nusu amani.
Now nimeachana na mke wangu sababu kama hio but I still have no peace in my life, watoto wananisumbua na wanawake wanasumbua pia (ma wakambo) now natamani ningerusisha siku nyuma nisingumchunguza mke wangu nikagundua uchafu wake maana niliishi nao bila kugundua na sikua na shida hii.
Nakupa pole saana Mungu akufanyie wepesi ukiweza kusamehe na kukubali kwamba mkeo ni malaya tu ka wengine ni tiba uishi nae tuu