Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Money is not everything.....jamaa kampa kila kitu pamoja na Mtaji na kila miezi miwili anasafiri lakini wapiNimechikuta nashindwa kuandika...pole sana mkuu..kuchapiwa ni siri ya ndani.
Kataa ndoa wanachukua point tena hapa! Wanawake jamani! Kufuatilia haya mambo ya hawa viumbe ni kujiumiza tu! Hapo ukute wewe unakula kistaarabu sasa li dereva hiace linambinua mpaka miguu inagusa dari! Utumbo nje nje! Uamuzi unao wenyewe maana umejiingiza kwenye mfumo wewe mwenyewe! Hapo umembana amesema mara 2 ukimbana zaidi atasema mara 3 na kuendelea! Hapo mkuu inagongwa kila siku!Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Nimetafuta sehemu unagusia KY kama ulivyotaja kwenye heading, ila nimetoka patupu.Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Huyo ni wa kuachana naye tu kwani yeye mwenyewe alishakiri kuwa mmesha achana na mko tu kwa ajlli ya kulea Watoto wenu. Siku zote ukiona mwanammke anakushutumu kwa vitu usivyovijuwa basi dadisi utakuta ni yeye ndiye anayefanya hivyo. Nafsi ikimsuta ndipo anageuka na kutaka kulaumu mwanamme, huyo ni wa kuachana naye tu. Mwanamke mjinga siku zote ndiye anayeharibu ndoa yake.Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Kimsingi huyo Mwanamke alishamwacha Mume wake kimwili na kiroho.Keshamwambia huyo bodaboda wa daladala kwamba mmeachana mnalea watoto tuu, sasa unataka ushauri gani tena?
Wanawake hawawezi kukaa na mwanaume dhaifu kama huyu.Yaani bado unajishauri kumuacha? unafikri atatulia? mpaka anadanganya kuwa mmeachana mnalea watoto tu, unafikiri huyo wako tena
Huo uhalali kwetu wanaume sijui tuliutoa wapi? Lingekamatwa lenyewe lingeomba kusamehewa sasa lenyewe halitaki kusamehe! Na haya mambo ya kukaa mnachunguza simu za wake ni shida sana!Wala siyo ukatili. Ni uhalisia tu wa mambo.
Mara nyingi wanandoa wote huwa wanachepuka.
Jamaa anaweza kabisa akawa na michepuko yake huko aliko lakini hawezi vumilia mkewe naye akiwa na michepuko.
Walishaimbiwa na Diamond kwamba kugongewa na siri ya ndani hawataki kusikia! Sasa linakuja kutaka ushauri JF litapata majibu gani kama siyo dhihaka tu!Wanawake hawawezi kukaa na mwanaume dhaifu kama huyu.
Hii haihitaji ushauri ni aidha kuachana au kukubali kuendelea kupigiwa na sio kuomba ushauri
hapo angekuwa ameshapisha uchunguzi, yaani uchunguzi unaendelea yuko kwaoWanawake hawawezi kukaa na mwanaume dhaifu kama huyu.
Hii haihitaji ushauri ni aidha kuachana au kukubali kuendelea kupigiwa na sio kuomba ushauri
MastaKiraka kwenye moja na mbili point 3 muhimu kwa kataa ndoaDaah mada kama hizi huwa zinanifariji sana juu ya msimamo wangu wa kuachana kabisa na fikra za kuoa maana kwa ninavyojifahamu kama huyo ndio angekuwa mke wangu ni either angekuwa amesharudishwa kwao permanently ama yuko mahala pema peponi.
Leo watatupiga Tatu bila tena. Tunapigwa kama NgomaWazee wa kataa ndoa mko wapi?
Huyu Mwamba ni dhaifu toka zamani. Wanawake ni wajanja sana. Hawakai na mwanaume dhaifu.hapo angekuwa ameshapisha uchunguzi, yaani uchunguzi unaendelea yuko kwao
sasa hapo wakati mgumu upo wapi..!? KUMBUKA ULIVYO KUWA UNAKATIKIWA UNO NDIVYO VIVYO HIVYO ALIVYOKUWA ANAKATIKIWA "DUREVA" WA HIACE 😁Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Wewe hukuwa unachepuka??Bro nakuelewa unachokipitia kwakua pia ni muhanga... Laiti ungeniahirikisha kabla ya kugundua ningekwambia usimchunguze ili ubaki na nusu amani.
Now nimeachana na mke wangu sababu kama hio but I still have no peace in my life, watoto wananisumbua na wanawake wanasumbua pia (ma wakambo) now natamani ningerusisha siku nyuma nisingumchunguza mke wangu nikagundua uchafu wake maana niliishi nao bila kugundua na sikua na shida hii.
Nakupa pole saana Mungu akufanyie wepesi ukiweza kusamehe na kukubali kwamba mkeo ni malaya tu ka wengine ni tiba uishi nae tuu