Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Kaka vile namwona shemeji yetu anakunjwa mithili ya KIWETE. Jamaa wa bodaboda na dereva wanajuwa namna ya kuwakunja vizuri sana.
 
Kugongewa kunauma sana na mkeo hana tena hisia na ww hata ukimsamehe bado ataendelea kumpa utamu franc hata iweje sababu hisia zake zipo kule
 
Bro nakuelewa unachokipitia kwakua pia ni muhanga... Laiti ungeniahirikisha kabla ya kugundua ningekwambia usimchunguze ili ubaki na nusu amani.

Now nimeachana na mke wangu sababu kama hio but I still have no peace in my life, watoto wananisumbua na wanawake wanasumbua pia (ma wakambo) now natamani ningerusisha siku nyuma nisingumchunguza mke wangu nikagundua uchafu wake maana niliishi nao bila kugundua na sikua na shida hii.

Nakupa pole saana Mungu akufanyie wepesi ukiweza kusamehe na kukubali kwamba mkeo ni malaya tu ka wengine ni tiba uishi nae tuu
 
Kupigwa miti nyumbani kwako, ni dharau ya kiwango juu ambacho kusamehe ni mgumu, na shida hata ukimsamehe, ukikumbuka mwamba alimviringisha kwenye kochi unalokalia lazima utakuwa unapatwa na hasira. Yani unapokaa kuna mwamba alimwaga shahawa.

Sijui, lakini kuliko kuishi na maumivu, hasira za mara kwa mara kila ukimuona au akifanya kosa dogo linakuwa kubwa, bora muachane tu.
 
✍️ The choice is yours...
 
Daah mada kama hizi huwa zinanifariji sana juu ya msimamo wangu wa kuachana kabisa na fikra za kuoa maana kwa ninavyojifahamu kama huyo ndio angekuwa mke wangu ni either angekuwa amesharudishwa kwao permanently ama yuko mahala pema peponi.
 
Mwanamke akiisha kucheat achana nae
 
Kwanza pole sana kaka, "siku hizi hakuna mahaba mapenzi ya mkataba na upwiru unakabaa koo unaonekana umekufa Umeoza"

Ni heri tu umuache lakini pia, wanaume kanuni yetu ni moja mke anatakiwa awe mahali wewe mme ulipo full stop, huwezi kuwa na shamba alafu uliache bila fence tena karibu na shule lazima miwa italiwa

Tafuta mtu uko mwingine tu. Taratibu
 
Pole sana Mkuu sisi wanaumw ni wahanga sana kwenye dunia hii
 
Keshamwambia huyo bodaboda wa daladala kwamba mmeachana mnalea watoto tuu, sasa unataka ushauri gani tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…