Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Kataa ndoa wanachukua point tena hapa! Wanawake jamani! Kufuatilia haya mambo ya hawa viumbe ni kujiumiza tu! Hapo ukute wewe unakula kistaarabu sasa li dereva hiace linambinua mpaka miguu inagusa dari! Utumbo nje nje! Uamuzi unao wenyewe maana umejiingiza kwenye mfumo wewe mwenyewe! Hapo umembana amesema mara 2 ukimbana zaidi atasema mara 3 na kuendelea! Hapo mkuu inagongwa kila siku!
 
Naona umeshamsamehe, hapa unatafuta jinsi ya kutetea maamuzi ya kumsamehe...ukimpa muda ukaacha kufanya kazi zako za porini ukakosa hela ataenda kutafuta mwenye hela....piga chini hiyo ndoa...huyo ni kama ng'ombe aliyekatwa mkia🐼
 
Nimetafuta sehemu unagusia KY kama ulivyotaja kwenye heading, ila nimetoka patupu.
 
Huyo ni wa kuachana naye tu kwani yeye mwenyewe alishakiri kuwa mmesha achana na mko tu kwa ajlli ya kulea Watoto wenu. Siku zote ukiona mwanammke anakushutumu kwa vitu usivyovijuwa basi dadisi utakuta ni yeye ndiye anayefanya hivyo. Nafsi ikimsuta ndipo anageuka na kutaka kulaumu mwanamme, huyo ni wa kuachana naye tu. Mwanamke mjinga siku zote ndiye anayeharibu ndoa yake.
 
Wala siyo ukatili. Ni uhalisia tu wa mambo.

Mara nyingi wanandoa wote huwa wanachepuka.

Jamaa anaweza kabisa akawa na michepuko yake huko aliko lakini hawezi vumilia mkewe naye akiwa na michepuko.
Huo uhalali kwetu wanaume sijui tuliutoa wapi? Lingekamatwa lenyewe lingeomba kusamehewa sasa lenyewe halitaki kusamehe! Na haya mambo ya kukaa mnachunguza simu za wake ni shida sana!
 
sasa hapo wakati mgumu upo wapi..!? KUMBUKA ULIVYO KUWA UNAKATIKIWA UNO NDIVYO VIVYO HIVYO ALIVYOKUWA ANAKATIKIWA "DUREVA" WA HIACE 😁
 
Wewe hukuwa unachepuka??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…