Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Piga chini
 
Hapo huyo dereva hiace anasubiri jibu kutoka kwa mkeo,kama utamsamehe,wabadili mbinu au itakuaje.
Kugongewa saa hizi imekua kawaida sana.Pole mkuu.
Mkuu ushatuma maombi ya ajira za ualimu kwanza??
 
Hapa unataka tukupe ushauri gani mkuu?

Hebu chagua tu mwenyewe.
 
Sawazisha mkuu muanze sawa, na wewe chepuka halafu mrudiane,kila mtu akijua mwenzake anaweza kuchepuka kama yeye, atakua na adabu kidogo na hio ndoa...seriously best option ni kupeana talaka hapo constantly utakuwa unaumiza hisia zako kila mnaposex kuna mawili utakumbuka; jitihada zako zilizoshindwa za kuenjoy nae sex,na pili kitendo cha yeye kulala na mwanaume mwingine kitajirudia kila mnapotaka ku sex. Kubali tu ndoa yako imeingia mdudu mkuu haya mapicha picha/ mawazo ni unhealthy/toxic.
 
Kama wewe hujawahi kumsaliti usimsamehe ila kama wewe naye unachepuka msamehe maisha yaendelee! Mwenye kosa ni wewe hivyi wanandoa mnawezaje kukaa mbali hivyo na mili yetu inahitaji kila siku! Hapo tunadanganyana! Mimi na mke wangu kukaa tu wiki moja bila kuwa naye naona kama mwaka vile, nyie wenzangu mnawezaje??? Mwezi?? Miezi miwili???? Tusidanganyane! Raha ya ndoa mulale pamoja na kuamka pamoja!! Hayo mengine mnampa shetani nafasi kwenye ndoa zenu! Alafu mnakuja kulalamika hapa! Mwanaume ni mlinzi kwa mkewe na mwanamke ni mlinzi kwa mumewe! Mkikaa mbali kuaminiana tena hakupo
 
Kosa ni la mwanaume
 
Lakini amerudi ameshindwa ku sex na mke wake, hisia nae huyo mwanamke hana nae tena baada ya kuonja mgegedo wa nje, kuna ndoa hapo?????!!!
Ndoa ni agano! Ukiona mwanamke ametoka nje ya ndoa kosa ni la mwanaume! Kabla hajahamia arusha aliwahi kumfania??? Maanake mwanamke amechoka kuvumilia kikubwa ni kumsamehe alafu arudi naye lindi! Hivyi nawezaje kumwacha mke wangu mbali kiasi hicho! Mimi siwezi napenda bila kumbatia mke wangu sipati usingizi! Kosa ni la mwanaume! Amsamehe maisha yaendelee! Yeye mwenyewe yamkini mchepukaji mzuri tu! Wewe utakaa miezi miwili bila kuchepuka wanaume hapana !
 
Amsamehe kisha kila wanapotaka kusex atumie ky jelly kumlainisha mwanamke sio??? Huo utumwa ni nyie mnauweza wafia ndoa....
 
Amsamehe kisha kila wanapotaka kusex atumie ky jelly kumlainisha mwanamke sio??? Huo utumwa ni nyie mnauweza wafia ndoa....
Sio kweli yamkini siku wanasex alikuwa mood haipo hayo mbona yanatokea mkuu, hawezi kuwa hivyo siku zote! Achana na roho za kishetani za kuvunja ndoa kwa sababu za kijinga
 
Sio kweli yamkini siku wanasex alikuwa mood haipo hayo mbona yanatokea mkuu, hawezi kuwa hivyo siku zote! Achana na roho za kishetani za kuvunja ndoa kwa sababu za kijinga
Sawa, mkeo siku zote mnasex vizuri tu haujawahi kukumbana na hilo tatizo, all of a sudden mkeo hana mood hautaubganisha dots kuwa kwa vile amecheat?
 
Sawa, mkeo siku zote mnasex vizuri tu haujawahi kukumbana na hilo tatizo, all of a suddenly mkeo hana mood hautaubganisha dots kuwa kwa vile amecheat?
Inatokeaga mkuu! Yamkini siku hiyo hayuko vizur huwezi kumlazimisha! Lakini kwa stuation ya huyo kaka yeye ndiye katengeneza tatizo! Huwezi kukaa na mwanamke mbali muda wote huo unategemea nini???? Mwanamke naye ana mwili anahitaji ok akihitaji au akiwa na hisia afanye nini???? Kama tumeamua kuishi kwenye ndoa basi tuache sababu zozote za kututenganisha kiumbali! Maana mwili haujui kama mmeo hayupo au mkeo hayupo! Huku mtandaoni kila sehemu ni mapenzi tu hivyo hisia muda wote zinakuja! Wewe umeoa kaa na mkeo akikusaliti ukiwa naye hiyo ndio kesi sasa sio hii ya kijinga kabisa! Mwanaume mwenyewe kachepuka hata na wanawake 20 kwa muda huo! Hapa anatuchora tu! Mimi ni mwanaume haya nayajua!
 
Suluhu ni kumchukua mwanamke aende naye! Unaachana asali yako peke yake wengine watajilia! Tuache kutengeneza matatizo alafu tunaaanza kulia lia hapa
Na wale wanaoishi pamoja na bado mke/mume anacheat?
 
Na wale wanaoishi pamoja na bado mke/mume anacheat?
Hiyo ni kesi nyingine kabisa mkuu!! Na ina sababu zake! Dont relate kwa sababu hii sinario yake mwanaume ndiye mwenye makosa! " kaeni na wake zenu kwa akili" ameshindwa kuelewa hii kauli na kuitendea kazi! Swali amewahi kumcheat akiwa naye lindi??? Kama hajawahi maanake shida ni mwanaume kumpeleka mke wake arusha akisahau kuwa mke naye anahitaji muda wote! Hivyo ni wajibu wa mwanaume amsamehe mkewe na amchukue warudi lindi hiyo ndio dawa pekee! Asizingizie sijuhi uhamisho kwani angehamishwa watoto ingeshindikanaje kuhamisha watoto?? Mwanaume naye ni mchepukaji sana
 
Kulikuwa na ulazima gani kumpeleka Arusha eti ili watoto wakasome?! Huko Lindi hakuna shule?
Ni mambo ya kijinga kwa kweli! Analaumu nini wanaume tunawaonea sana wake zetu! Nina 100% huyu mwanaume ana wanawake kibao! Kama kweli unampenda mkeo huwezi hata kukaa mbali naye hata wiki moja bila sababu ya msingi! Sasa maana ya mke ni ipi kama unampeleka arusha wewe unabaki lindi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…