Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

We jamaa umeyabanyanga mwenyewe kulikuwa na sababu gani iliyokufanya umwambie mkeo akakae arusha eti watoto wasome huko, ilo ndio kosa lako kubwa ulimpa uhuru wewe mwenyewe kwa mikono yako ona sasa katombw*a sebuleni kwako
 
Kabisa mkuu umeongea pointi sana, sababu iliyomfanya amrudishe lindi ni nini, hapo ndio kosa kubwa alilofanya eti watoto wakasome arusha Ina mana lindi hakuna shule kabsa? mambo mengine wanaume tunataka wenyewe
 
Haya mambo hayana formula mkuu. Unaweza kuwa unalala na mke kila siku na anachapwa nayo kila siku mchana wewe unakula makombo usiku. Siku ukijua bidiii yote ya kuhakikisha upo kwa ajili yake akikuhitaji yalikuwa mahangaiko ya bure utajinyonga.
 
Pole kaka mkubwa, mpishe na umwachie familia......uwe unatoa matunzo, relax fanya mambo yako, enjoy maisha yaliyobaki duniani.
 
Umeonyesha ukomavu sana, hujukurupuka baada ya kuhisi kuna kitu kwa mkeo, ulifanya uchunguzi kwa utulivu na ukajiridhisha kuwa mkeo alikuwa anakusaliti. Ushahidi umeupata Sasa hapo kinacho fuata ni kufanya taratibu za kuachana na kugawana mali mlizo chuma kwa pamoja.
malezi ya watoto yataendelea.
 
Acha mama apigwe paipu, unamuacha 2 months without service, vp wew hunaga service za mara kwa mara huko ulipo ndani ya hizo miezi miwili mkuu?
 
Huyo hana akili, yaani anachepuka kimwili na kihisia kabisa. Huyo kajinajisi kabisa - for the sake ya watoto na msiwasumbue kwa uzinzi wa mama yao - wewe piga kimya - mwambie yuko huru kuishi hapo nyumbani kwenu na yuko huru kuendeleza umalaya - sharti moja tu - asifanyie nyumbani hapo.
Jingine mfanye just kama house girl wa watoto wako - tuma chakula, walee - wakue wakimuona mama yao.
Lkn usikutane naye kwimwili tena - tulua jenga mji wako kwingine upya.
 
Usimwamini mwanamke hata robo, wewe huyo kahaba piga chini pokonya kila ulichompa mwambie aelekee kwao asichukue hata mtoto mmoja, baada ya hapo fanya taratibu za kuivunja hio ndoa narudia tena huyo kahaba ukimsamehe umekula kwako huyo franc umeshtuka sababu kaingia vibaya ila kuna wanaomfumua malinda ambao wewe hauwajui
 
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Na asikwambie mtu mke wa mtu hua anatoa yaan nyuma na mbele
 
Pole ila Usisahau Watoto katika maamuzi yako! Mtoto hajali baba ni mhuni au mama anaitoa nje. Ustawi wa Watoto ni mama na baba kuwa katika ndoa, hata kama vikojoleo havigusani.

Kama anajutia, msamehe mlee Watoto, kwa makubaliano mapya ingawa hili ni kovu huwa halitibiki hadi unaingia kabirini. Nasema haya maana yalinitokea miaka 10 iliyopita na sikumuacha.

Je, itakuwaje kuwa mke wako si mwaminifu? Kuna Red Flags mbili:-
1. Atakuwa anakutuhumu kila mara kuwa unatembea nje, na
2. Ukitaka kula tundra anakuwa mkavu hata baada ya kumuandaa (hakupendi tena)!

Haya ndiyo maisha na ifike wakati tukubali kuwa K zinagawiwa kama njugu na wenye nazo. Wivu kwa k ambayo huna mwilini mwako ni upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…