muvangulumemile
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 686
- 966
We ndezi kweli, na wewe unaamini hajalipwa?Alipata kazi ya ujenzi akaniambia akilipwa analeta balance yote ila tangu wamalize ujenzi mpaka leo anadai bado hajalipwa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndezi kweli, na wewe unaamini hajalipwa?Alipata kazi ya ujenzi akaniambia akilipwa analeta balance yote ila tangu wamalize ujenzi mpaka leo anadai bado hajalipwa,
Muongezee muda wa mkataba ukishapata hela unayoitaka mwambie unauza pikipiki ujilipe hela unayo mdai.Nilishafanya ivyo ila sababu haziishi nilichoamua ni kuvunja mkataba ila siwezi kumwachia hela yote iyo alipe angalao nusu ya anayodaiwa nahitaji kujua namna ya kumshurutisha alete hela je nikimpeleke polisi au niende kwake nikachukue chochote nitakachokuta nishike kama dhamana ya deni? Yeye ni fundi ujenzi kuna sehemu wakijenga bado hawajalipwa ndo aliniambia wakilipwa anamaliza deni nakimshitaki kama ni kweli hajalipwa inawezakana nikapata kibali cha kuchukua yale malipo yake?
Ongea naye kisha chunguzaKuna kazi ya kumsimamia bodaboda nilipewa. Makubaliano ilikua alete 280k kila mwezi baada ya miezi 10 pikipiki itakua ya kwake, sasa uletaji wa hesabu umekua ukisua sua ana malimbikizo ya almost miezi mitatu, nataka kumwambia arudishe pikipiki tuvunje mkataba ila pesa ambayo bado hajaleta ni nyingi sana almost laki 8 kwaiyo siwezi kuipotezea hela yote.
Naweza kuchukua pikipiki na nikamdai kiasi kilichobaki? Na nikishaichukua pikipiki nitamshurutisha vipi alipe angalao hata nusu ya pesa anayodaiwa?
Naombeni ushauri wenu
Madeni nayo ni ushauri kama ilivyo mbususuMbona hili sio jukwaa la madeni
Kwa hapo mulipofukia nenda polisi tuNilishafanya ivyo ila sababu haziishi nilichoamua ni kuvunja mkataba ila siwezi kumwachia hela yote iyo alipe angalao nusu ya anayodaiwa nahitaji kujua namna ya kumshurutisha alete hela je nikimpeleke polisi au niende kwake nikachukue chochote nitakachokuta nishike kama dhamana ya deni? Yeye ni fundi ujenzi kuna sehemu wakijenga bado hawajalipwa ndo aliniambia wakilipwa anamaliza deni nakimshitaki kama ni kweli hajalipwa inawezakana nikapata kibali cha kuchukua yale malipo yake?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwan hafai kuulizw kuhus madeni ya watu au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani bodaboda aulizwe tatizo nini
We huwajui vizuri
Aah kumbe na ww ukae kimya[emoji4][emoji4]Madeni nayo ni ushauri kama ilivyo mbususu
Hufai kuwa kiongozi,bodaboda mmoja tu kakushinda kusimamia ukipewa kiwanda utaweza,u litakiwa umpe hesabu ya wiki sio mwezi,huwezi kukaa na hela mwezi mzima,alivyozingua mwezi wa kwanza ulitakiwa kumnyanganya chombo,sasa imefika miezi mitatu,aliywkupa chombo atakuzarau au hatokuamini tenaSio yangu mkuu nimepewa niisimamie tu maana mwenyewe yupo mbali, kuirudisha bila angalao hata nusu ya hesabu anayodaiwa sasa mwenye mali atanielewa kweli
Mkuu ndo utaratibu niliokuta huku mkoani nishawahi kusimamia dereva dar ilikua analeta hesabu kwa wiki ila huku madereva wote wanataka kwa mwezi hata mimi pia nakumbuka nilikataa hili suala la hesabu kwa mwezi nikamwambia mwenye chombo hesabu inabidi kwa wiki aksema wiki dereva anaweza akakwamba nikamwambia basi iwe wiki mbili maana mwezi mmoja ni parefu muda uwe mfupi ili akiwa mbabaishaji ijulikane mapema ila nikafatilia nikaona ndo utaratibu wa hapa huo hata mwenye chombo anajua hesabu inafatakiwa kwa mwezi alikwepo kipindi mkataba unasainiwaHufai kuwa kiongozi,bodaboda mmoja tu kakushinda kusimamia ukipewa kiwanda utaweza,u litakiwa umpe hesabu ya wiki sio mwezi,huwezi kukaa na hela mwezi mzima,alivyozingua mwezi wa kwanza ulitakiwa kumnyanganya chombo,sasa imefika miezi mitatu,aliywkupa chombo atakuzarau au hatokuamini tena
Alinikabizi nimsimamie baada ya yeye mwenyewe kushindwana nae alafu huku mikoani hali ni tofauti na dar nilipopazoea, hawa bodaboda kama ujawahi ku-deal nao ni rahisi sana kutoa lawama kwa msimamizi wakeWewe ni msimamizi wa hovyo. Hakuna jambo jingine huyo ndugu yako atakupa usimamie.
Sio deni lote la kwangu kuna deni jingine nimerithi kwa mwenye mali aliniachia nimfatilie bodaboda akiwa bado kiasi fulani cha pesa hajaleta kwa makubaliano akilipwa hela yake ya ujenzi anamalizia yote hayo mwenye mali anajuaHILI KOSA LILIANZIA SIKU YA KWANZA... KURUHUSU DENI LA MWEZI MMOJA... HUTAKIWI KURUHUSU DENI HATA LA SIKU MOJA... HAPO HAPO UNAVUNJA MKATABA... LAKINI UKILIMBIKIZA... BAADAE UNAUMIA WEWE...
Pole uko mkoa gani mkuu?Mkuu ndo utaratibu niliokuta huku mkoani nishawahi kusimamia dereva dar ilikua analeta hesabu kwa wiki ila huku madereva wote wanataka kwa mwezi hata mimi pia nakumbuka nilikataa hili suala la hesabu kwa mwezi nikamwambia mwenye chombo hesabu inabidi kwa wiki aksema wiki dereva anaweza akakwamba nikamwambia basi iwe wiki mbili maana mwezi mmoja ni parefu muda uwe mfupi ili akiwa mbabaishaji ijulikane mapema ila nikafatilia nikaona ndo utaratibu wa hapa huo hata mwenye chombo anajua hesabu inafatakiwa kwa mwezi alikwepo kipindi mkataba unasainiwa
Nimeachiwa nimfatilie akiwa ana deni mwenye chombo ilitakiwa kusafiri ndo akaniambia niwe namfatiliaKubali hasara uliyopata uchukue bodaboda kwa kumsamehe hiyo hela au uendelee kupata hasara...maana miezi 3 yote sijui ulikubali vipi akae muda wote huo hajaleta hela
Nipo iringa, nimeona bora nichukue pikipiki ipaki tu amekuja na mke wake ambae ndio alikua shaidi wake kipindi tunasaini nikamwambia anipe funguo tunavunja mkataba, kwa mara ya kwanza maisha yangu mtu mzima kabisa pamoja na mkewe wamenipigia magoti mpaka wanatoa machozi kuniomba niwavulie., nimeumia kinoma lakini sina jinsi nimekataa ombi lao nimechukua chomboPole uko mkoa gani mkuu?