Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #81
Kihesa mkuuUpo Iringa sehemu gani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kihesa mkuuUpo Iringa sehemu gani??
Ni ni vyema ukauliza vizuri kuliko kutoa lugha ambayo sio nzuri., by the way shukrani kwa mchango wako mkuu nashukuru sana mkuuKwa akili zako fyatu za kumsubiri bodaboda akulipe malimbikizo miezi mitatu yote trust me, hufai hata kusimamia ugawaji wa soda kwenye msiba uko kijijini
Nilipewa nimsimamie na mmiliki wa pikipiki maana yeye ana safari na atakaa muda mrefu kipindi napewa jukumi la usimamizi kulikua na balance ambayo bado dereva hajaleta na huku mikoani ndo utaratibu wa hesabu inaletwa kwa mwezi mimi pia nilivyosoma mkataba nilishangaa nikamwambia mwenye pikipiki ili suala sio sawa inabidi hesabu iletwe kwa wiki akaniambia ndo utaratibu wa huku ulivyoKawaida asipoleta pesa ndani ya siku 10 ndio mkataba unavunjwa bhana au 15 na hapo hamdaiani
sasa huyu jamaa anaomba ushauri wakat angerejea kusoma mkataba unasemaje
Sawa mkuuSasa kama una mkataba si mpeleke kwenye vyombo vya sheria... Halafu mtu hakupi rejesho zaidi ya ×2 unamuangalia tu hadi inafika laki8. Chukua pikipik weka ndani sio muda atakuambia ameibiwa pikpik. Muandikie barua ya kuvunja mkataba kwasabab moja mbili tatu... Siku nyingine mkataba weka wa kila wiki, kwa mwezi hawawez wengi wanatamaa wanakula pesa
Ok! Niko mkimbiziKihesa mkuu
Wewe ni muongo!Ok! Niko mkimbizi