Naomba ushauri kuhusu kilimo, nilime matikiti au nyanya?

usijaribu kuingia kilimo cha greenhouse (hema) ni utapeli. kuhusu kulima bora ulime tikiti. nyanya bei yake inabadirika haraka na haitabiriki. pia tikiti unaweza safirisha hata soko la mbali.
 
isijekuwa story za forever au kama matapeli wa kilimo cha green house? 20,000 kwa siku ni 7.2m kwa mwaka. tufany 5m. unafikiri ni mkulima gani atatumia laki tano kutengeneza faida kama hiyo? wakulima hata SACCOS hawakopesheki.
Wanasema ukiona mtu ni masikini, sio masikini wa pesa pekeake ni masikini wa fikra na maalifa.
 
usijaribu kuingia kilimo cha greenhouse (hema) ni utapeli. kuhusu kulima bora ulime tikiti. nyanya bei yake inabadirika haraka na haitabiriki. pia tikiti unaweza safirisha hata soko la mbali.
Hebu eleza utapeli wa kilimo cha GH?
 
isijekuwa story za forever au kama matapeli wa kilimo cha green house? 20,000 kwa siku ni 7.2m kwa mwaka. tufany 5m. unafikiri ni mkulima gani atatumia laki tano kutengeneza faida kama hiyo? wakulima hata SACCOS hawakopesheki.
Iyo 7.2 mimi nimeipata ndani ya mwezi mmoja na zaid yake kutoka kwenye kilimo. If u want prove nitafte.
 
Hebu eleza utapeli wa kilimo cha GH?
kwanza kabisa zile siyo green house ni mahema. green house ni ile unaweza kucontrol joto, unyevu yaani hali ya hewa. kwahiyo kuita mahema greenhouse ni utapeli namba moja na wabongo wanaingia kama walivyoingia DECI. kwanini ulime kwenye hema wakati tuna mamilioni ya ekari yanafaa kwa umwagiliaji? pia greenhouse ulime nyanya ya kumpelekea dalali kariakooo ikashindane na ya kilosa ni ujinga mkubwa.
 
So kila anayelima kwenye Ayo mahema katapeliwa?
 
huyu kalima kwenye GH according to u!!! katapeliwa eeh
 
Wewe unaish kwa ndoto sana...kilimo wanafanya wazee na maskin.....kama unabisha tuambie.ww kilimo kimekusaidia viipiii
 
katapeliwa sana. kwa pesa aliyotumia kujenga hilo hema angeamua kulima eneo wazi angepata zaidi ya hapo. nimeona mashammba yamezaa nyanya namna hiyo. ambao hawajawahi ona shamba la nyanya(washamba) ndiyo huzuzuka na kutapeliwa.
Ndyo maana nikakuambia wewe ni mpumbavu. Hebu tafta kams ujue maana ya upumbavu.

Yani huna uelewa wa mambo yoyote zaidi ya kushinda JF na kutafta likes.

Hujui nini maana hta ya kulima kwa GH. Umeclame kuwa et GH ni zile zenge air controller cjui ventilatio sijui nini?

Dis is africa condition za hpa huwezi zilinganisha na za ulya.

Wee ni masikini wa kila kitu endelea kutafta likes wenzio wanapiga pesa wewe wasema wanatapeliwa.
 
Nitafute nikuajili kwenye kilimo uache kazi ya udalali tapeli wewe.
Hata kiswahili hujui jiajiri mwenywee na njaa zako hzo.... naanzaje kuwa dalali wa maskini? Mkulima n maskin naaanzaje mdalalia maskini? Ebu ntoleee mkosi hapa
 
Kwanza nikupongeze! Kwa wanaoziona opportunities kilimo kwa awamu hii kitakuwa na faida. Tofauti na wafanyabiashara na wafanyakazi, wakulima tumepewa upendeleo.
Narudi kwenye mada; nashauri heka mbili panda nyanya na mbili panda tikiti ili uweze kujipatia faida ikiwa msimu utakaovuna zao moja likiwepo saturated then lingine litakuokoa
Mimi nalima tikiti. Wiki ijayo napanda . Napingana na watu wanaosema eti tikiti linalimwa sana hasa kwa kuzingatia Siko bado ni kubwa. Watanzania tunakaribia mil.50 na wote hayo wakulima tunahitaji kuwalisha. Kwa hiyo usivunjike moyo na mijitu ya humu jamvini itakayokukatisha tamaa
 
Hata kiswahili hujui jiajiri mwenywee na njaa zako hzo.... naanzaje kuwa dalali wa maskini? Mkulima n maskin naaanzaje mdalalia maskini? Ebu ntoleee mkosi hapa
Wewe ndye mkosi. Unafanya udalali wa vitanda sijui vijisimu. Masikini mkubwa wewe. Kashike jembe ulime acha uvivu wewe kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…