Naomba ushauri kuhusu kilimo, nilime matikiti au nyanya?

Naomba ushauri kuhusu kilimo, nilime matikiti au nyanya?

Iko hivi, nimejipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji msimu wa kiangazi. Nina shamba ekari 4. Natarajia kiangazi kikianza nichimbe maji then nifunge pampu. Nitakuwa napandisha maji kwa generator kwenda kwenye simtank alafu namwagilia kwa mipira (drip irrigation). Sasa kuna mambo yananichanganya kiasi.
  • Je, nilime nyanya au tikiti maji.? Nimekuwa nikifuatilia mahitaji ya haya mazao, na kwa eneo langu zao lolote kati ya haya linakubali. Swali langu, nahitaji kulima zao ambalo litakuwa cost effective lakini liwe na uzalishaji mkubwa kwa kila ekari. Naomba wazoefu mnisaidie, Je, kwa ekari moja nikilima nyanya nitapata mkwanja kiasi gani, na nikilima tikiti nitapata kiasi gani. Tupieni na uzoefu wa marketing, ipi ni rahisi kuuzika. Tukadirie kwamba other factors remain costant.
N.B: Sitalima kwenye Green house kwa sasa, nitatumia open system, lakini nitazungushia shamba langu fence kwa ajili ya usalama. Pia kwa sasa nimelima mahindi kwa sababu nilikuwa nasafisha shamba na kutoa visiki. Natanguliza shukrani.
usijaribu kuingia kilimo cha greenhouse (hema) ni utapeli. kuhusu kulima bora ulime tikiti. nyanya bei yake inabadirika haraka na haitabiriki. pia tikiti unaweza safirisha hata soko la mbali.
 
isijekuwa story za forever au kama matapeli wa kilimo cha green house? 20,000 kwa siku ni 7.2m kwa mwaka. tufany 5m. unafikiri ni mkulima gani atatumia laki tano kutengeneza faida kama hiyo? wakulima hata SACCOS hawakopesheki.
Wanasema ukiona mtu ni masikini, sio masikini wa pesa pekeake ni masikini wa fikra na maalifa.
 
usijaribu kuingia kilimo cha greenhouse (hema) ni utapeli. kuhusu kulima bora ulime tikiti. nyanya bei yake inabadirika haraka na haitabiriki. pia tikiti unaweza safirisha hata soko la mbali.
Hebu eleza utapeli wa kilimo cha GH?
 
isijekuwa story za forever au kama matapeli wa kilimo cha green house? 20,000 kwa siku ni 7.2m kwa mwaka. tufany 5m. unafikiri ni mkulima gani atatumia laki tano kutengeneza faida kama hiyo? wakulima hata SACCOS hawakopesheki.
Iyo 7.2 mimi nimeipata ndani ya mwezi mmoja na zaid yake kutoka kwenye kilimo. If u want prove nitafte.
 
Hebu eleza utapeli wa kilimo cha GH?
kwanza kabisa zile siyo green house ni mahema. green house ni ile unaweza kucontrol joto, unyevu yaani hali ya hewa. kwahiyo kuita mahema greenhouse ni utapeli namba moja na wabongo wanaingia kama walivyoingia DECI. kwanini ulime kwenye hema wakati tuna mamilioni ya ekari yanafaa kwa umwagiliaji? pia greenhouse ulime nyanya ya kumpelekea dalali kariakooo ikashindane na ya kilosa ni ujinga mkubwa.
 
kwanza kabisa zile siyo green house ni mahema. green house ni ile unaweza kucontrol joto, unyevu yaani hali ya hewa. kwahiyo kuita mahema greenhouse ni utapeli namba moja na wabongo wanaingia kama walivyoingia DECI. kwanini ulime kwenye hema wakati tuna mamilioni ya ekari yanafaa kwa umwagiliaji? pia greenhouse nyanya ya kumpelekea dalali kariakooo ikashindane ya kilosa ni ujinga mkubwa.
So kila anayelima kwenye Ayo mahema katapeliwa?
 
kwanza kabisa zile siyo green house ni mahema. green house ni ile unaweza kucontrol joto, unyevu yaani hali ya hewa. kwahiyo kuita mahema greenhouse ni utapeli namba moja na wabongo wanaingia kama walivyoingia DECI. kwanini ulime kwenye hema wakati tuna mamilioni ya ekari yanafaa kwa umwagiliaji? pia greenhouse nyanya ya kumpelekea dalali kariakooo ikashindane ya kilosa ni ujinga mkubwa.
1472329318066.jpg
huyu kalima kwenye GH according to u!!! katapeliwa eeh
1472329442944.jpg
 
Ndyo maana nikasema only in Tanzania maana 95% ni wapumba.vu kama wewe.

Yani unazidi kuonyesha upumbavu wako. Kwamba wakulima hwakopesheki?????

Hebu angalia kwenye nch kama kenya ambapo wapumbavu kama wewe wamepungua hadi 40%. Angalia GDP kutokana na Agribsness.

Vijana wanamaliza uko chuo wanachukua mikopo kutumia vyeti vyao wanafanya wonders in agriculture wewe unashinda JF et unalalamikia Moods wamekupunguzia likes????

JF nirudishieni likes zangu.

Hivi watanzania tumelogwa na nani? Yani limtu lizima linasema kilimo sio kazi lenyewe linaona kazi ni kutafta likes JF?????????!!!!!!!@ shiiiiiiiiittyiii
Wewe unaish kwa ndoto sana...kilimo wanafanya wazee na maskin.....kama unabisha tuambie.ww kilimo kimekusaidia viipiii
 
katapeliwa sana. kwa pesa aliyotumia kujenga hilo hema angeamua kulima eneo wazi angepata zaidi ya hapo. nimeona mashammba yamezaa nyanya namna hiyo. ambao hawajawahi ona shamba la nyanya(washamba) ndiyo huzuzuka na kutapeliwa.
Ndyo maana nikakuambia wewe ni mpumbavu. Hebu tafta kams ujue maana ya upumbavu.

Yani huna uelewa wa mambo yoyote zaidi ya kushinda JF na kutafta likes.

Hujui nini maana hta ya kulima kwa GH. Umeclame kuwa et GH ni zile zenge air controller cjui ventilatio sijui nini?

Dis is africa condition za hpa huwezi zilinganisha na za ulya.

Wee ni masikini wa kila kitu endelea kutafta likes wenzio wanapiga pesa wewe wasema wanatapeliwa.
 
Nitafute nikuajili kwenye kilimo uache kazi ya udalali tapeli wewe.
Hata kiswahili hujui jiajiri mwenywee na njaa zako hzo.... naanzaje kuwa dalali wa maskini? Mkulima n maskin naaanzaje mdalalia maskini? Ebu ntoleee mkosi hapa
 
Iko hivi, nimejipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji msimu wa kiangazi. Nina shamba ekari 4. Natarajia kiangazi kikianza nichimbe maji then nifunge pampu. Nitakuwa napandisha maji kwa generator kwenda kwenye simtank alafu namwagilia kwa mipira (drip irrigation). Sasa kuna mambo yananichanganya kiasi.
  • Je, nilime nyanya au tikiti maji.? Nimekuwa nikifuatilia mahitaji ya haya mazao, na kwa eneo langu zao lolote kati ya haya linakubali. Swali langu, nahitaji kulima zao ambalo litakuwa cost effective lakini liwe na uzalishaji mkubwa kwa kila ekari. Naomba wazoefu mnisaidie, Je, kwa ekari moja nikilima nyanya nitapata mkwanja kiasi gani, na nikilima tikiti nitapata kiasi gani. Tupieni na uzoefu wa marketing, ipi ni rahisi kuuzika. Tukadirie kwamba other factors remain costant.
N.B: Sitalima kwenye Green house kwa sasa, nitatumia open system, lakini nitazungushia shamba langu fence kwa ajili ya usalama. Pia kwa sasa nimelima mahindi kwa sababu nilikuwa nasafisha shamba na kutoa visiki. Natanguliza shukrani.
Kwanza nikupongeze! Kwa wanaoziona opportunities kilimo kwa awamu hii kitakuwa na faida. Tofauti na wafanyabiashara na wafanyakazi, wakulima tumepewa upendeleo.
Narudi kwenye mada; nashauri heka mbili panda nyanya na mbili panda tikiti ili uweze kujipatia faida ikiwa msimu utakaovuna zao moja likiwepo saturated then lingine litakuokoa
Mimi nalima tikiti. Wiki ijayo napanda . Napingana na watu wanaosema eti tikiti linalimwa sana hasa kwa kuzingatia Siko bado ni kubwa. Watanzania tunakaribia mil.50 na wote hayo wakulima tunahitaji kuwalisha. Kwa hiyo usivunjike moyo na mijitu ya humu jamvini itakayokukatisha tamaa
 
Hata kiswahili hujui jiajiri mwenywee na njaa zako hzo.... naanzaje kuwa dalali wa maskini? Mkulima n maskin naaanzaje mdalalia maskini? Ebu ntoleee mkosi hapa
Wewe ndye mkosi. Unafanya udalali wa vitanda sijui vijisimu. Masikini mkubwa wewe. Kashike jembe ulime acha uvivu wewe kijana.
 
Back
Top Bottom