Naomba ushauri kuhusu kilimo, nilime matikiti au nyanya?

Wanasema ukiona mtu ni masikini, sio masikini wa pesa pekeake ni masikini wa fikra na maalifa.
sorry mkuu. nilikuwa tu naongelea changamoto za kilimo. sometimes hunifanya nisiamini kama kinaweza kunitoa. nimeona wengi kinawaliza japo wachache hutoka.
relax mkuu. nia yangu ni kuzungumzia changamoto za kilimo. ili tusiwe na matumaini hewa kudhani kilimo ni kama kile wazungu wanaita deus ex machina wa umasikini wetu. kilimo kinachangamoto nyingi ila kinaweza kulipa. mi mwenyewe nalima Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake
BTW: kilimo cha kwenye mahema ni utapeli.
 

Hiyo avatar yako inaekezea kazi yako

kazi gani?
 
Haaaah haaaah mkuu kilimo kina changamoto sana. Anza na nyanya ..maana tikiti kila mtu analima, so demand ni ndogo kuliko supply kwa kipindi hiki. So km vp subiri kidogo au ulime nyanya. Na mahesabu yake ni tofauti na maelezo ya vitabuni...
Nyanya nazo ziko nyingi sana msimu huu
 
kwa jinsi nyanya na tikiti zilivyoingiza loss mwaka huu nadhani mtoa hii mada utakuwa umepata somo tosha pole sana
 
Tell him
 
Tell him
 
achana naye huyo anakukasirisha bure haelewi kuwa kilimo kinalipa sana tena kilimo ndo uti wa mgongo amefungwa huyo mpaka aje kufunguka atakuwa mzee na hana nguvu mwache aendelee na ujinga wake
 
Tell him
 
Tru that
 
achana naye huyo anakukasirisha bure haelewi kuwa kilimo kinalipa sana tena kilimo ndo uti wa mgongo amefungwa huyo mpaka aje kufunguka atakuwa mzee na hana nguvu mwache aendelee na ujinga wake
umeona nyanya zilivyokosa soko hadi wakapewa ng'ombe? umewahi lima lakini?
 
umeona nyanya zilivyokosa soko hadi wakapewa ng'ombe? umewahi lima lakini?
Wale unawaona ni wamekosa utaalamu wakimasoko kwahiyo unakuta suuply nikubwa kuliko demand angalia formula za masoko za green house uone wanavyokula pesa kila kitu kinahitaji mipango kama huna na hukipendi bac lazima utadondoka tu
 
utagundua nchi masikini raia wengi ni wakulima. ingekuwa kazi ya maana ingeshawatoa kwenye umasikini. wauza machungwa na mamalishe wana wastani mkubwA wa pato kuliko wakulima. kijana ukitaka kufa masikini na kuzeeka mapema nenda kalime.

Kuna tofauti kati ya wakulima unaozungumzia...kilimo biashara ndio jamaa anakiongelea na kuomba ushauri hapa ww unamuongelea yule mfanyakazi jamaa atakayemlipa kupanda mbegu shambani!
 
sasa baaaasi!! naona somo limeingia vizur kwa vijana wa sasa.... acheni uvivu nendeni shambani mkalime

including me though!!! bwahahahaha
 
think critically ....................
 
Unazngua ach dharau....hay maish huwez jua mung amepang nin mbele yko hat hivyo hay maish sio ya kuyaogop ni KUTHUBUTU 2
 
Wanasema ukiona mtu ni masikini, sio masikini wa pesa pekeake ni masikini wa fikra na maalifa.

Mkuu naona unamshambulia huyo jamaa lakini anasema ukweli japo anatumia lugha inayokukera. Asikudanganye mtu kilimo ndani ya nchi hii ni kujitakia umasikini wa wazi. Mimi nimelima na ninalima mpaka sasa lakini jasho ninalovuja na ninachopata ni vitu tofauti. Kama kilimo kinalipa ungekuta maafisa ugani wote ni wakulima, lakini unakuta wao wanafanya shughuli nyingine kabisa na sio kilimo. Jaribu kuangalia hata viongozi wanahimiza watu wakalime hawawahimizi watoto wao kwenda kulima wote wanalazamisha watoto wao wapate ajira katika ofisi za umma. Angalia pia signature yangu hapo chini utajua nini ninsema na mifano ninayo.
 
Wewe unaish kwa ndoto sana...kilimo wanafanya wazee na maskin.....kama unabisha tuambie.ww kilimo kimekusaidia viipiii
Kwa huu mchango wako inaonyesha wewe bado mtoto unanuka maziwa,nenda kwa mama ako ukanyonye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…