Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
sorry mkuu. nilikuwa tu naongelea changamoto za kilimo. sometimes hunifanya nisiamini kama kinaweza kunitoa. nimeona wengi kinawaliza japo wachache hutoka.Wanasema ukiona mtu ni masikini, sio masikini wa pesa pekeake ni masikini wa fikra na maalifa.
relax mkuu. nia yangu ni kuzungumzia changamoto za kilimo. ili tusiwe na matumaini hewa kudhani kilimo ni kama kile wazungu wanaita deus ex machina wa umasikini wetu. kilimo kinachangamoto nyingi ila kinaweza kulipa. mi mwenyewe nalima Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lakeNdyo maana nikakuambia wewe ni ********. Hebu tafta kams ujue maana ya upumbavu.
Yani huna uelewa wa mambo yoyote zaidi ya kushinda JF na kutafta likes.
Hujui nini maana hta ya kulima kwa GH. Umeclame kuwa et GH ni zile zenge air controller cjui ventilatio sijui nini?
Dis is africa condition za hpa huwezi zilinganisha na za ulya.
Wee ni masikini wa kila kitu endelea kutafta likes wenzio wanapiga pesa wewe wasema wanatapeliwa.
BTW: kilimo cha kwenye mahema ni utapeli.