kama hutojali naomba nielezee kdg kwanini hii ya Ardhi.Hiyo ya ardhi
Naomba nishauri ndugu yangu basi kati ya hizo nikasome ipi ambayo inafaa Zaid.Nakutegemea mkuuKuna kozi zingine za ajabu,sasa hiyo ya SUA ndio kozi gani au uchafu
Ndoto yangu mimi ni kuwa mtu ambae nitajihusisha na maswala yote na mipango ya kifedha katika matumizi na katika kushauri.Na kufanya kazi katika financial institutions ndani na nje ya nchi.Je wewe ulikuwa na ndoto za kuwa nani ?
Soma kitu unachopenda mkuuNdoto yangu mimi ni kuwa mtu ambae nitajihusisha na maswala yote na mipango ya kifedha katika matumizi na katika kushauri.Na kufanya kazi katika financial institutions ndani na nje ya nchi.
Asante sana kwa ushauri.Soma kitu unachopenda mkuu
Soma uhasibu inatosha kuwa mtaalamu mzuri
Shukran sana mkuu Kwa ushauri nimekusomaSoma namba mbili ingawa kama ungeweza kuapply Agribusiness pale sokoine ingekuwa poa au Bachelor of Finance and Investment planning pale Chuo cha Mipango Dodoma.
Asante mkuu kwa ushauri shukran sanaSoma kitu unachopenda mkuu
Soma uhasibu inatosha kuwa mtaalamu mzuri
Soma # 2 or 3Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi
1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university
2.Bachelor of Economics and finance _IFM
3.Bachelor of Agriculture investment and banking _SUA
Nahitaji sana mawazo na muongozo wenu wakuu wangu,niende ipi bora zaidi kati ya hizo?