Naomba ushauri kuhusu kozi na vyuo hivi

Naomba ushauri kuhusu kozi na vyuo hivi

Zou Alley

Member
Joined
May 15, 2022
Posts
39
Reaction score
32
Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi

1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university

2.Bachelor of Economics and finance _IFM

3.Bachelor of Agriculture investment and banking _SUA

Nahitaji sana mawazo na muongozo wenu wakuu wangu,niende ipi bora zaidi kati ya hizo?
 
Kuna kozi zingine za ajabu,sasa hiyo ya SUA ndio kozi gani au uchafu
 
Soma namba mbili ingawa kama ungeweza kuapply Agribusiness pale sokoine ingekuwa poa au Bachelor of Finance and Investment planning pale Chuo cha Mipango Dodoma.
 
Je wewe ulikuwa na ndoto za kuwa nani ?
Ndoto yangu mimi ni kuwa mtu ambae nitajihusisha na maswala yote na mipango ya kifedha katika matumizi na katika kushauri.Na kufanya kazi katika financial institutions ndani na nje ya nchi.
 
Soma kitu unachopenda mkuu

Soma uhasibu inatosha kuwa mtaalamu mzuri
 
Soma namba mbili ingawa kama ungeweza kuapply Agribusiness pale sokoine ingekuwa poa au Bachelor of Finance and Investment planning pale Chuo cha Mipango Dodoma.
Shukran sana mkuu Kwa ushauri nimekusoma
 
Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi

1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university

2.Bachelor of Economics and finance _IFM

3.Bachelor of Agriculture investment and banking _SUA

Nahitaji sana mawazo na muongozo wenu wakuu wangu,niende ipi bora zaidi kati ya hizo?
Soma # 2 or 3
 
Back
Top Bottom