Wasalaam Wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gesi kwenye gari cc 2000.
Je, kuna changamoto yoyote ya ufanisi wa gari nitakayokutana nayo?
Je, ni kweli kwamba mfumo huu unaokoa gharama?
Ni wapi naweza pata huduma ya kufunga mfumo huu kwa gharama nafuu?
Pia kwa yoyote mwenye uzoefu au anaetumia mfumo huu naomba ushee na sisi hapa kwani kumekuwa na maneno mengi kuhusu mfumo wa gas.
Natanguliza shukrani.