Habari za kazi wapendwa...
Mimi ni binti nna umri wa miaka 24 Elimu yangu nina Degree ya maendeleo ya jamii. Natamani kujiunga na jeshi kwasababu napenda kua mwanajeshi sana
Kabla sijajiunga nna hofu kutokana na story za mitaani kuhusu kazi au mafunzo ya jeshi kuwa magumu wengine wanasema sitaweza wengine wanasema sijui mateso sana. Kwa muonekano mimi ni mnene sana ila sina magonjwa yoyote, afya yangu ni njema kwasababu huwa na desturi ya kucheki afya mara kwa mara.
Naelewa kua kazi ya jeshi sio rahisi lakini najikuta natamani
Naombeni ushauri kwa walio kua katika hiyo sekta au hata kwa sio kua katika hiyo sekta.