Nimeogopa kabisa gari unique. Jamaa yangu alipata ajali ndogo (aligonga gari lingine kwa nyuma), imemgharimu sana. Spare za kutafuta sana na zikipatikana ni ghali mno.Haya magari mengine jaman tuziheshim sana hela zetu, ni hela ngumu sana ku risk huku.
🚨Boni akauliza Hivi Mazda Atenza Upatikanaji wa Spear na Body parts ukoje, wajumbe wakamjibu Dunia ishakua Kijiji we nunua tu usiwaze..
Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,.. . Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na ni mmoja wa wasirikali waliotoka Dar wakaenda Dom Kikazi, Ni kijana flani mtu wa maji, misosi na...www.jamiiforums.com
Shukran sana mkuu kwa ushauri wako. Nimesoma huo uzi umenipa funzoHaya magari mengine jaman tuziheshim sana hela zetu, ni hela ngumu sana ku risk huku.
🚨Boni akauliza Hivi Mazda Atenza Upatikanaji wa Spear na Body parts ukoje, wajumbe wakamjibu Dunia ishakua Kijiji we nunua tu usiwaze..
Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,.. . Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na ni mmoja wa wasirikali waliotoka Dar wakaenda Dom Kikazi, Ni kijana flani mtu wa maji, misosi na...www.jamiiforums.com
Alphard zipo kawaida sana ila angalia km ina ule mustach kimbia itachakaa mapema kwa barabara mbovuAlphard huwa naziona zipo chini sana halafu ni kama hazitaki shuruba na gharama za matunzo nadhani zitakuwa juu mno
Nimeogopa kabisa gari unique. Jamaa yangu alipata ajali ndogo, imemgharimu sana. Spear za kutafuta sana na zikipatikana ni ghali mno.
Ww nunua gari unalo penda. Spear zipo. Dunia ni kijiji. Watanzania ni wa oga wa maisha. Wame kariri Toyota tu.
Nenda Nairobi, kuna ndinga za kila aina.
Ina cc 2000 mkuuHiyo gari ina body kubwa alafu CC zake ni ndogo Sana ni Bora ufanane Tu na watanzania wenzako kwenye alphard
"Fahari Baba wa Ujinga"Gari unique siku zote ni ujinga tu bro, usishawishike na kutaka kuwa tofauti ule ni mzigo wa miiba na utakufa nao gari ikianza kukusumbua, yaani utalia peke ako.
Na hakunaga kitu inauma kama unatafuta spea madukani unaulizwa ni ya gari gani..? Ukitaja jina la gari yako wanakushangaa ndo gari gani?[emoji23]