Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujinga wake nini ? au mazoea ndiyo tatizo linalo kusumbua?Hivi kumbe mjinga anapata supporters? Ni maajabu
Inasikitisha mtoto bado mdogo na haujui ndoto zake ni nini jamani!!! Jamani!!!!!Bila shaka Wote Mpo salama.
Naomba ushauri wenu, Mwanangu kwa sasa ana miaka mitatu na nusu ila nimeamua nisimpeleke shule hizi za kawaida kusoma Darasa la kwanza Hadi la Saba na kuendelea.
Nimeona ikiwezekana nimpeleke akasomee ufundi moja kwa moja Kwa vitu ambavyo ataweza kuvifanya hata akiwa na umri mdogo.
Mfano naweza kumpeleka chuo cha Urembo, au Music, ama Video and productions au mapishi ama Utangazaji.
Nyie wakuu Mna lipi la kumshauri Je inawezekana? Nini faida na hasara zake.
NB: anajua kusoma na kuandika.