Naomba ushauri kuhusu ofa ya mshahara

Usiende kwa muhindi ata akilanda dau akasema 700k.

Huko ulipo Kibaha mbali na mshahara mnono, jamaa anaonekana ana utu. Imagine hadi alikubaki uishi kwake, ni nni anaweza kufanya ivyo?

Hao wahindi siku ukipata ata emergency haujaenda kazini weeknlets day unaumwa au matatizo ya kifamilia watakata siku za malipo.

Endelea kufanya kazi Kibaha, hauna gharama kubwa za maisha na unazidi kujenga CV nzuri.

Endeleza pia uhaminifu si unaona wenyewe wameanza kukutafuta kwasababu ya uhaminifu na uchapa kazi.
 
Nimekuelewa mkuu nitazingatia ushauri
 
Yaani hapo ulipo minimum ni 500K na hiyo hiyo minimum ndiyo unawaambia watu wakulipe kwa mkataba?

Hata hujawaambia kama utapata bima na allowance zingine?

Kazi hujaisema ili tujue kama inaweza kukupa kitu zaidi ya mshahara.

Kwa mtu ambaye una sehemu unatengeneza pesa ambayo determinant ni jinsi unavyofanya kazi 500K ni ndogo mno kulipwa kwa mkataba.

I hope utaona hili
 
Tulia halo ulipo.Kama unpat 40k kwa Sikh au 700k ya in uende kwenye 500k? Wahindi watakunyanyasa na watakutumua so muda.
 
Mkuu wanakuitia kazi tu au kuna mengine? Mbona kama wamekukomalia sana isivyo kawaida?
Watch it
 
Wahindi wana akili sana, kukupita wewe usiye mhindi. Hata uikiwaibia wanajifanya hawajui, kumbe washapiga hesabu mpaka za kuibiwa, wanakutumikisha ni lazima ulipe japo indirectly.

Ndiyo maaana mnaopenda wizi hamuwapendi wahindi.
Watu wavivu wanawachukia sana wahindi.....Ila Wahindi wako smart sana linapokuja swala la Kazi.

Kwanza Wahindi hawana mademu wala hawaoi wale wenhi
 
sasa Melancholic mbona unapotea umesema hapo unapofanya kazi sahivi kwa siku hukosi 40,000 hii ukikusanya kwa wiki moja unapata kama 200,000 ukifika mwezi ni kama 700,000..wahindi wanataka wakupe mkataba wa mwaka mmoja (wanaweza wasikuongeze tena) kwa mshahara wa 400,000 kwa mwezi..utakuwa bonge la mjinga ukikubali ofa yao yaani uache zaidi ya laki saba alafu ukachukue laki nne kwa mwezi.! mm nakushauri hao wahindi achana nao ukiona wanakung'ang'ania sana basi jua mambo ya nyota yanahusika lazima utakuwa na kipawa unacho ujijui tu washakuchunguza kiroho
 
kazi ya kwa wahindi mbona kaitaja kasema ni ya kuuza duka la simu refurbished toka hong kong na dubai
 
Hapana namaanisha pesa nayolipwa pale kwa siku
Usinijibu kijingq, mimi sijaenda shule kusomea ujinga.

Kajisome upya, umesema "...mimi nachukua 60% na... kwa mwezi huwa inarange laki 7, laki 6 au laki 5 inategemea na mzunguko"..."kukunja 40k kwa siku ni jambo la kawaida."

Sasa 40 kwa siku ndiyo hesabu yake hiyo laki 5 au 6 au 7 uliyoandika?



Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Shukrani
 
Mtanzania anaiba halafu anakuja kutafuta ushauri kwenye mitandao ya kijamii?

Hii nchi maendeleo tusahau kabisa.
Sasa mtanzania gani alieiba mbona unaropoka vitu usivyovijua faiza wewe ni mkubwa sana kwa hiki unachokifanya
 
Naona kazi unayofanya kwa sasa is more of partnership than boss na mwajiriwa. Pia kazi ya sasa una opportunity ya kukua na kuwa na business yako mwenyewe kuliko kwa mhindi. Hivyo baki huko huko kwa mhindi usiende hata wakupe offer ya 700k mkuu.
Shukran mkuu nalibeba hili kama lilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…