Labda alipata majeraha kwenye ubongo . Akienda kwa madaktari bingwa anaweza kusaidikaDaah kuna dogo sema yeye alikuwa mzima kabisa mpaka miaka 11 baaadae akajaga kupata tatizo anakuwa hawezi kuongea vzuri ila maneno yanatoka, na anakumbuka kila mtu,
Mpaka shule ikabidi astop hili tatizo linaweza kuwa nn mkuu?
u mean upweKe...?Loneliness
yah tunafanya na mabadiliko yanaonekanaPole.
Mnafanya therapy?
Hivi, si ze utahila ????😂😂😂😂😂 Natania lakiniUtaahira kwa kiiingereza unaiwaje?
Pitia series za Unyago nilizoanzisha, utajifunda mengi. Kandamiza chini hapoMimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.
Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
kweli una shida kazi ya kukaa nyuma ya komputa badala ya watu.....tafuta bwana....akutoe outmda mwingi na michezoniNnafanyaga kazi za computer programming za muda mfupi, sijawahi kuwa na kazi ya muda mrefu sababu ya hii shida.
Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.
Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
nilikua nampeleka KAIZORA ipo msasani lakini nikaona hakuna kitu.Hongera, unaweza share sehemu unayompeleka
kuna sehemu wanafanya hivi vyote inaitwa kaizora ipo karibu na cape town fish market.Kwa anyejua sehemu za speech therapy, na occupation therapy Kwa watoto wenye autism jijini Dar es Salaam,naomba contacts zao please.Hata certified private speech therapist nahîtaji contact zake.Asante!