Naomba ushauri kuhusu usonji

Naomba ushauri kuhusu usonji

Daah kuna dogo sema yeye alikuwa mzima kabisa mpaka miaka 11 baaadae akajaga kupata tatizo anakuwa hawezi kuongea vzuri ila maneno yanatoka, na anakumbuka kila mtu,
Mpaka shule ikabidi astop hili tatizo linaweza kuwa nn mkuu?
Labda alipata majeraha kwenye ubongo . Akienda kwa madaktari bingwa anaweza kusaidika
 
Ndo inakuaje mkuu? Au kama wale watoto wa wahindi ambae kila familia lazima awepo mmoja?
 
Nnafanyaga kazi za computer programming za muda mfupi, sijawahi kuwa na kazi ya muda mrefu sababu ya hii shida.
kweli una shida kazi ya kukaa nyuma ya komputa badala ya watu.....tafuta bwana....akutoe outmda mwingi na michezoni
 
Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.

Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.

Kuna mmama ana mtoto mwenye Autism mtoto ana miaka 5 sasa.
Yy aligundua akiwa bado mdogo nadhan kuna namna anaenda nae sawa
 
Kwa anyejua sehemu za speech therapy, na occupation therapy Kwa watoto wenye autism jijini Dar es Salaam,naomba contacts zao please.Hata certified private speech therapist nahîtaji contact zake.Asante!
kuna sehemu wanafanya hivi vyote inaitwa kaizora ipo karibu na cape town fish market.
nyumba ya kwanza kushoto unapoingia ule mtaa wa kwenda cape town fish market.
gharama nakumbuka ni elfu 25 per hour kwa kila therapy
 
Back
Top Bottom