Naomba ushauri kuhusu usonji

Naomba ushauri kuhusu usonji

mkuu usonji ni autism
na hutokana na changamoto wakati wa kujifungua.

nina mtoto ana hilo tatizo.
halina tiba.
haihusiani na ulichoandika hapo.
Ni sababu zipi wakati wa kujifungua zinaweza kupelekea hilo??
 
Back
Top Bottom