Soma kwa majibu job description yako na utekeleze kazi kwa mujibu wa hiyo job description utawasambarayishaNina kama week mbili tangu nianze kazi ila kuna changamoto ninapitia hapa
1.changamoto ya kwanza kuna supervisor full time kunifanyia visa mara kila saa natishiwa kufukuzwa kazi
2. Work mate niliokutana nao ofisi hawanipi ushirikiano vitu vingi vya msingi hawanielekezi
3.Upande wa boss wangu ambae alikuwa anakubali utendaji wangu wa kazi sasa hivi kanibadilikia full kunifokea full kupewa ma onyo kuhusu kufukuzwa
4.ofisini nipo kama mwana mkiwa naona kama niko motoni lawama na vitisho vimekuwa vingi
Hapa nilipo sijui hatma yangu katika hii ofisiii
Nina kama week mbili tangu nianze kazi ila kuna changamoto ninapitia hapa
1. Changamoto ya kwanza kuna supervisor full time kunifanyia visa mara kila saa natishiwa kufukuzwa kazi
2. Work mate niliokutana nao ofisi hawanipi ushirikiano vitu vingi vya msingi hawanielekezi
3. Upande wa boss wangu ambae alikuwa anakubali utendaji wangu wa kazi sasa hivi kanibadilikia full kunifokea full kupewa maonyo kuhusu kufukuzwa
4. Ofisini nipo kama mwana mkiwa naona kama niko motoni lawama na vitisho vimekuwa vingi
Hapa nilipo sijui hatma yangu katika hii ofisi.
Ulipewa job description?? Fanya ujasusi mkuu π unaweza kua CHOCHOTE ukiamua......Nina kama week mbili tangu nianze kazi ila kuna changamoto ninapitia hapa
1. Changamoto ya kwanza kuna supervisor full time kunifanyia visa mara kila saa natishiwa kufukuzwa kazi
2. Work mate niliokutana nao ofisi hawanipi ushirikiano vitu vingi vya msingi hawanielekezi
3. Upande wa boss wangu ambae alikuwa anakubali utendaji wangu wa kazi sasa hivi kanibadilikia full kunifokea full kupewa maonyo kuhusu kufukuzwa
4. Ofisini nipo kama mwana mkiwa naona kama niko motoni lawama na vitisho vimekuwa vingi
Hapa nilipo sijui hatma yangu katika hii ofisi.
Anza kutafuta kazi sehemu nyingine.Nina kama week mbili tangu nianze kazi ila kuna changamoto ninapitia hapa
1. Changamoto ya kwanza kuna supervisor full time kunifanyia visa mara kila saa natishiwa kufukuzwa kazi
2. Work mate niliokutana nao ofisi hawanipi ushirikiano vitu vingi vya msingi hawanielekezi
3. Upande wa boss wangu ambae alikuwa anakubali utendaji wangu wa kazi sasa hivi kanibadilikia full kunifokea full kupewa maonyo kuhusu kufukuzwa
4. Ofisini nipo kama mwana mkiwa naona kama niko motoni lawama na vitisho vimekuwa vingi
Hapa nilipo sijui hatma yangu katika hii ofisi.
Apige chini anahuwakika wa kz nyingine? Unamshauri vibaya mzeeAmani ya nafsi ni Bora kuliko kitu kingine chochote. Piga chini kazi tafuta alternative ya kuishi.
Unakuta umemaliza kazi zako huna kitu cha kufanya umetulia boss akikuta umetulia huna cha kufanya anaanza kukufokea kwanini umekaa idleWanakufokea tu bila sababu???
Wewe ndio unaleta sababu za kufokewa so jitahidi ufanye kazi inavyotakiwa kuepuka makosa mara kwa mara ili wakose nafasi ya kukufokea na visa.
Ukiwa ofisi mpya sharti uwe mchangamfu ili wakuchangamkie ukijitenga hakuna wakukusogelea watakuacha hapo uhangaike mwenyewe
Changamka!
Jichanganye!
Jifanye mjinga
Jipendekeze
Kila mtu kapewa nafasi ya kutoa ushauri. Wewe una kipimo gani Cha kujua kwamba huu ushauri ni mzuri na huu ni mbaya?Apige chini anahuwakika wa kz nyingine? Unamshauri vibaya mzee