hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 399
- 992
Aanze kwanza kujiuliza yeye tatizo lake ni nini? Kwa nini hapendwi na kila mtu? Binadamu tunapenda kuwaona wengine ndio wenye mapungufu huku tukishindwa kutambua mapungufu tuliyonayo sisi. Na kwa urahisi zaidi tafuta work mate mmoja muulize hivi mimi nina shida gani mbona watu hawanipendi? Ukishajua jirekebishe.Hao workmate ndio wachawi wanakufanyia fitina.
Kamata mmoja kichochoroni mtie mtaroni, huku harakati za kumtafuta zikiendelea wataachana na wewe
😜😜😜😜
Pia kuna makabila ambayo naturally huwa hayapendwi makazini. Find out unaweza kuwa umetokea kwenye makabila hayo