seriousman
Member
- May 29, 2019
- 17
- 20
- Thread starter
- #41
Mimi ni mjinga ila sujafikia kiwango cha upumbavuJiue mkuu , unasubiri nini
Wakati ni sasa !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mjinga ila sujafikia kiwango cha upumbavuJiue mkuu , unasubiri nini
Wakati ni sasa !
Mnisaidie ushauri namna ya kuachana na stress zinazonikabili.Unataka tukuambie nini?
Kabla hujanitazama mimi kwa kunihukumu jitazame moyoni kwako kama u msafi kuliko mimi.Haya mambo ya uzinzi ndio yanasababisha ndoa nyingi siku hizi kuwa jehanam maana watu mnajisifu kabisa kuwa na michepuko.
....i used to be the other man, now it's flipped i dont want you with another man....Nelly.Habari zenu wadau wa Jamiiforums.
Ni mara yangu ya kwanza kutuma ujumbe wenye maudhui kama haya hapa jukwaani.
Naomba mnipe ushauri jinsi ya kukabiliana na stress zinazonikabili.
Suala liko hivi; mwaka jana Oktoba mpenzi (mchepuko) wangu alipata mchumba akaja kuniuliza nikubali au nikatae asiolewe.
Mimi niliona sio vema kumkataza asiolewe maana mimi nina mke, lakini huyu mdada tulielewana sana, aliheshimu ndoa yangu sana, alikua mshauri mzuri mpaka kwenye masuala yangu ya kifamilia na kikazi.
Kuna wakati alikua akinishawishi nimuoe awe mke wa pili, lakini sikuwahi kuwaza kuwa na mke zaidi ya mmoja hivyo nilikataa, akasema sio shida anataka tuendelee kuwa wapenzi no matter what.
Sasa baada ya kumshauri akubali kuolewa, kweli jamaa mwezi Januari akaleta barua, kisha taratibu zote zikafuata.
Sasa leo ndio siku wapo wanafunga ndoa, kuna bonge la sherehe, dada zake (shemeji zangu) wamenipigia simu niende, rafiki zake wa karibu wa kazini kwao wamenipigia simu niende lakini moyo umeshindwa kabisa japo zawadi nilinunua nikampa rafiki yake akapeleka.
Wakuu huyu mwanamke ameolewa kwa ruhusa yangu lakini nimepata stress tangu juzi kila ninachofanya hakiendi, kila ninachoshika hakiendi, yaani nahisi kama akili zangu zimesimama kufanya kazi.
Nisadieni namna ya kukabiliana na hali hii ndugu zangu. Naomba msinitukane, msinihukumu wakuu, nisaidieni natokaje kwenye huu msongo wa mawazo.
Dah hili swali gani mkuuIla vipi embu tuambie mara yamwisho kumpiga rungu ilikuwa lini au imepita mda gani ili nikushauri vizuriiii
Sitapenda hilo liendelee.Kitu kinaitwa soultie
Na hamjaachana mtaendelea na huo mchezo wenu mkuu
Upuuzi mtupu... Yaani unashindwa kumshirikisha mkeo kwa kumdharau kuwa hawezi toa ushauri katika nyumba yenu unajidai kumuona huyo mchepuko ndo mshauri wako...Mimi niliona sio vema kumkataza asiolewe maana mimi nina mke, lakini huyu mdada tulielewana sana, aliheshimu ndoa yangu sana, alikua mshauri mzuri mpaka kwenye masuala yangu ya kifamilia na kikazi.
Acha uzinzi tulia na mkeo.Kabla hujanitazama mimi kwa kunihukumu jitazame moyoni kwako kama u msafi kuliko mimi.
watu wachache kama nyinyi na huyo mchepuko wako ndio mnafanya hii dunia watu waone ina machungu na kuchukia mapenzi wakati mwingine kuuana wewe badala ya kuachana naye kipindi yuko kwenye uchumba ulikua bado unaye kaolewa na bado utaendelea kuwa naye...huna aibu na akili watu kama nyinyi mnastahili kifoHabari zenu wadau wa Jamiiforums.
Ni mara yangu ya kwanza kutuma ujumbe wenye maudhui kama haya hapa jukwaani.
Naomba mnipe ushauri jinsi ya kukabiliana na stress zinazonikabili.
Suala liko hivi; mwaka jana Oktoba mpenzi (mchepuko) wangu alipata mchumba akaja kuniuliza nikubali au nikatae asiolewe.
Mimi niliona sio vema kumkataza asiolewe maana mimi nina mke, lakini huyu mdada tulielewana sana, aliheshimu ndoa yangu sana, alikua mshauri mzuri mpaka kwenye masuala yangu ya kifamilia na kikazi.
Kuna wakati alikua akinishawishi nimuoe awe mke wa pili, lakini sikuwahi kuwaza kuwa na mke zaidi ya mmoja hivyo nilikataa, akasema sio shida anataka tuendelee kuwa wapenzi no matter what.
Sasa baada ya kumshauri akubali kuolewa, kweli jamaa mwezi Januari akaleta barua, kisha taratibu zote zikafuata.
Sasa leo ndio siku wapo wanafunga ndoa, kuna bonge la sherehe, dada zake (shemeji zangu) wamenipigia simu niende, rafiki zake wa karibu wa kazini kwao wamenipigia simu niende lakini moyo umeshindwa kabisa japo zawadi nilinunua nikampa rafiki yake akapeleka.
Wakuu huyu mwanamke ameolewa kwa ruhusa yangu lakini nimepata stress tangu juzi kila ninachofanya hakiendi, kila ninachoshika hakiendi, yaani nahisi kama akili zangu zimesimama kufanya kazi.
Nisadieni namna ya kukabiliana na hali hii ndugu zangu. Naomba msinitukane, msinihukumu wakuu, nisaidieni natokaje kwenye huu msongo wa mawazo.
hujamuelewa anachosema, ni kwamba wanaume mnasemaga mnachepuka kwa tamaa bila hisia lakini mleta mada ana hisia nzito sana juu ya mchepuko wake.lakini mbona ameonesha bado anaupendo kwa mke wake hilo haujaliona mpaka hata amekataa kumuoa huyo mwanamke.
mzinzi ni mpumbavu tuMimi ni mjinga ila sujafikia kiwango cha upumbavu
Mimi ni mjinga ila sujafikia kiwango cha upumbavu
Uchafu wake auhalalishi uchafu wako.. Ukweli utabaki hivyo hivyo.Kabla hujanitazama mimi kwa kunihukumu jitazame moyoni kwako kama u msafi kuliko mimi.
This thing called marriage is just stupidityPole sana kwa mkeo na kwa jamaa anayejichukulia bomu...
Unarudi nyumbani na stress, mkeo anakubembeleza akijua ni mambo ya kazi kumbe mchepuko kaolewa...
Jamani ndoa, ndoa hizi ndoa jamani!!!