Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2


“Mpende mumeo na watoto wako” Hayo yanayosemwa nje yaache kama yalivyo, yapuuzie.

Pole sana mkuu, kuna kitu nimechukua kupitia andiko hili.

Kweli unastahili kuwa mume.
 
Yes naishi na mwanamke sijamuoa. Nayeishi naye sitaki kumuoa namtaka yule mwingine.
Wote wana watoto wawili
Jumla 4 kids
Pair ya kwanza wamepishana miezi 8 wapo vidudu huko.

Pair ya pili wamepishana mwaka mmoja anasimama dede mwingine ndio kwanzaaaa.....

HAKI UCHAWI UPO DUNIANI[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pata shida hiyo nyumba ya 60m utauza hata kwa 20m.....

Dunia tambara bovu.
 
Wanapenda kujipa stress na hawakomi
Huyu mzee ni mfano wa hawa mabaharia wa sasa wanao tamba wanasahau fainali uzeeni
Hapana mimi sio kama hao mabaharia, soon utanielewa kama nafanana nao , sikua nimejiachia kiasi, na hata hi you future kama mambo yataenda hivi hivi na Mungu akipenda, bado nipo vizuri, hivi nikikwambia hata nikisraaful leo nina uhakika wa 250 M, utasema future yangu ni sawa sawa na hao mabaharia,

Na hapo nikiamua nipige bei Kule nyumba kubwa nina uhakika wa 400m
Na hiyo ni leo , vipi nikipaendeleza zaidi,

Wewe endelea na huu uzi na utanielewa vizuri,
Bahati nzuri mimi sio mtu wa viwanja,

Kwa hiyo usini judge mapema hivyo
 

Shkamoo baba [emoji4]
Siku judge wewe nawaongele hawa wanao haswa...
You sound like a father figure[emoji1376][emoji1376]hongera
 
Baba angu achana na kujibu watu endelea tu kutusimulia mwishoni uko utawajibu wote
 
Labda ndio maana alipatikana mteja mapema, lakini kumbuka nyumba kubwa nilikuwa bado sijapiga bati, ilikuwa ndio kwanza ipo kwenye Lenta na tofari zake tatu juu, na kipindi hicho ndio maneno ya hali yalaanza, kumbuka ndio kipindi vile vile wa sasa anaingia madarakani, kwa watu wakaanza kuwa waangalifu na pesa zao,

Lakini sio haba kwangu kulingana na mahesabu yangu niliona itanifika mbali
 
Mkuu vya jikoni bado tu? Muda umeenda sana, tunataka tukapumzike si unajua tena ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…