Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Watoto wake sasa ndio wamemaliza la saba, nikawatafutia shule nzuri huko kanda nauli kwenda tu ukihumuisha vikorokoro vyote tokea hapa mpaka afike shule kwa mmoja sio chini ya 200000, bado ada ambayo kwa mmoja kila baada ya miezi 3 ni sh500000 na mwingine kila baada ya miezi 3 ni 450000, na wakirudi unatuma pesa kama 100000, kwa mmoja...

“Mpende mumeo na watoto wako” Hayo yanayosemwa nje yaache kama yalivyo, yapuuzie.

Pole sana mkuu, kuna kitu nimechukua kupitia andiko hili.

Kweli unastahili kuwa mume.
 
Same Mess gani na umesema hujaoa mkuu, n wattni wadogo kivipi? Au unaishi na mke ila bado ndoa, lakini kwa umri tafuta mke pata watoto? Nimeona kuna faida kubwa sana ukiwa na watoto na waanzishe shule mapema ukiwa na nguvu, kipindi cha kusoma kikianza ndio kipindi ambacho mambo mengi sana ya kimaendeleo yanasimama, kwa hiyo inatakiwa uchacharike hasa ili uwe nafuture yako nzuri,

Maana kwa umri nimeanza kuona wakati mwingine watoto ni wa Mama tu, sisi wanaume future yetu inategemea kila ulichojiandalia wewe mwenyewe, tunazaa tu ili ijulikane umezaa, ila bado nakuja huko!
Yes naishi na mwanamke sijamuoa. Nayeishi naye sitaki kumuoa namtaka yule mwingine.
Wote wana watoto wawili
Jumla 4 kids
Pair ya kwanza wamepishana miezi 8 wapo vidudu huko.

Pair ya pili wamepishana mwaka mmoja anasimama dede mwingine ndio kwanzaaaa.....

HAKI UCHAWI UPO DUNIANI[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu, kama haya ni ya kweli basi hiyo nyumba uliuza kwa bei ya hasara sana. 80,000,000 by 2016 ni hela ndogo sana ukilinganisha na jinsi ulivyoielezea hiyo nyumba na hilo eneo. Nyumba yangu yenye vyumba 4 nimeijenga kwa 60,000,000 lakini wala haipo eneo la kishua wala nini. Ipo huku uswazi kabisa how come wewe nyumba yenye kiwanja kikubwa na mazagazaga yote hayo uiuze kwa 80,000,000?
Pata shida hiyo nyumba ya 60m utauza hata kwa 20m.....

Dunia tambara bovu.
 
Wanapenda kujipa stress na hawakomi
Huyu mzee ni mfano wa hawa mabaharia wa sasa wanao tamba wanasahau fainali uzeeni
Hapana mimi sio kama hao mabaharia, soon utanielewa kama nafanana nao , sikua nimejiachia kiasi, na hata hi you future kama mambo yataenda hivi hivi na Mungu akipenda, bado nipo vizuri, hivi nikikwambia hata nikisraaful leo nina uhakika wa 250 M, utasema future yangu ni sawa sawa na hao mabaharia,

Na hapo nikiamua nipige bei Kule nyumba kubwa nina uhakika wa 400m
Na hiyo ni leo , vipi nikipaendeleza zaidi,

Wewe endelea na huu uzi na utanielewa vizuri,
Bahati nzuri mimi sio mtu wa viwanja,

Kwa hiyo usini judge mapema hivyo
 
Shkamoo baba [emoji4]
Siku judge wewe nawaongele hawa wanao haswa...
You sound like a father figure[emoji1376][emoji1376]hongera
 
Hapana mimi sio kama hao mabaharia, soon utanielewa kama nafanana nao , sikua nimejiachia kiasi, na hata hi you future kama mambo yataenda hivi hivi na Mungu akipenda, bado nipo vizuri, hivi nikikwambia hata nikisraaful leo nina uhakika wa 250 M, utasema future yangu ni sawa sawa na hao mabaharia
Baba angu achana na kujibu watu endelea tu kutusimulia mwishoni uko utawajibu wote
 
Mkuu, kama haya ni ya kweli basi hiyo nyumba uliuza kwa bei ya hasara sana. 80,000,000 by 2016 ni hela ndogo sana ukilinganisha na jinsi ulivyoielezea hiyo nyumba na hilo eneo. Nyumba yangu yenye vyumba 4 nimeijenga kwa 60,000,000 lakini wala haipo eneo la kishua wala nini. Ipo huku uswazi kabisa how come wewe nyumba yenye kiwanja kikubwa na mazagazaga yote hayo uiuze kwa 80,000,000?
Labda ndio maana alipatikana mteja mapema, lakini kumbuka nyumba kubwa nilikuwa bado sijapiga bati, ilikuwa ndio kwanza ipo kwenye Lenta na tofari zake tatu juu, na kipindi hicho ndio maneno ya hali yalaanza, kumbuka ndio kipindi vile vile wa sasa anaingia madarakani, kwa watu wakaanza kuwa waangalifu na pesa zao,

Lakini sio haba kwangu kulingana na mahesabu yangu niliona itanifika mbali
 
Hapana mimi sio kama hao mabaharia, soon utanielewa kama nafanana nao , sikua nimejiachia kiasi, na hata hi you future kama mambo yataenda hivi hivi na Mungu akipenda, bado nipo vizuri, hivi nikikwambia hata nikisraaful leo nina uhakika wa 250 M, utasema future yangu ni sawa sawa na hao mabaharia...
Mkuu vya jikoni bado tu? Muda umeenda sana, tunataka tukapumzike si unajua tena ?
 
Back
Top Bottom