Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Kwani mtu si anacreate ID mpya tofauti na ile ilozoeleka ukute ata yuko umu toka 2006 ukoMkuu umejiunga Leo tu jf lakini tayari ushaanza kutuingiza chaka.View attachment 1698495
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mtu si anacreate ID mpya tofauti na ile ilozoeleka ukute ata yuko umu toka 2006 ukoMkuu umejiunga Leo tu jf lakini tayari ushaanza kutuingiza chaka.View attachment 1698495
[emoji16] jamaa hayuko creatical .. wewe mtu anajua kufanya mpaka mult quote unaanzaje kusema kuwa Ni mgeni humu !?Kwani mtu si anacreate ID mpya tofauti na ile ilozoeleka ukute ata yuko umu toka 2006 uko
Watoto wake sasa ndio wamemaliza la saba, nikawatafutia shule nzuri huko kanda nauli kwenda tu ukihumuisha vikorokoro vyote tokea hapa mpaka afike shule kwa mmoja sio chini ya 200000, bado ada ambayo kwa mmoja kila baada ya miezi 3 ni sh500000 na mwingine kila baada ya miezi 3 ni 450000, na wakirudi unatuma pesa kama 100000, kwa mmoja...
Yes naishi na mwanamke sijamuoa. Nayeishi naye sitaki kumuoa namtaka yule mwingine.Same Mess gani na umesema hujaoa mkuu, n wattni wadogo kivipi? Au unaishi na mke ila bado ndoa, lakini kwa umri tafuta mke pata watoto? Nimeona kuna faida kubwa sana ukiwa na watoto na waanzishe shule mapema ukiwa na nguvu, kipindi cha kusoma kikianza ndio kipindi ambacho mambo mengi sana ya kimaendeleo yanasimama, kwa hiyo inatakiwa uchacharike hasa ili uwe nafuture yako nzuri,
Maana kwa umri nimeanza kuona wakati mwingine watoto ni wa Mama tu, sisi wanaume future yetu inategemea kila ulichojiandalia wewe mwenyewe, tunazaa tu ili ijulikane umezaa, ila bado nakuja huko!
Ila Hilo jina lako Ni sex libido tosha [emoji119][emoji119][emoji16][emoji39]
Pata shida hiyo nyumba ya 60m utauza hata kwa 20m.....Mkuu, kama haya ni ya kweli basi hiyo nyumba uliuza kwa bei ya hasara sana. 80,000,000 by 2016 ni hela ndogo sana ukilinganisha na jinsi ulivyoielezea hiyo nyumba na hilo eneo. Nyumba yangu yenye vyumba 4 nimeijenga kwa 60,000,000 lakini wala haipo eneo la kishua wala nini. Ipo huku uswazi kabisa how come wewe nyumba yenye kiwanja kikubwa na mazagazaga yote hayo uiuze kwa 80,000,000?
[emoji16][emoji16] sometimes kuoneana huruma tukiwa Kama binaadamu Ni muhimu
Hapana mimi sio kama hao mabaharia, soon utanielewa kama nafanana nao , sikua nimejiachia kiasi, na hata hi you future kama mambo yataenda hivi hivi na Mungu akipenda, bado nipo vizuri, hivi nikikwambia hata nikisraaful leo nina uhakika wa 250 M, utasema future yangu ni sawa sawa na hao mabaharia,Wanapenda kujipa stress na hawakomi
Huyu mzee ni mfano wa hawa mabaharia wa sasa wanao tamba wanasahau fainali uzeeni
Hapana mimi sio kama hao mabaharia, soon utanielewa kama nafanana nao , sikua nimejiachia kiasi, na hata hi you future kama mambo yataenda hivi hivi na Mungu akipenda, bado nipo vizuri, hivi nikikwambia hata nikisraaful leo nina uhakika wa 250 M, utasema future yangu ni sawa sawa na hao mabaharia,
Na hapo nikiamua nipige bei Kule nyumba kubwa nina uhakika wa 400m
Na hiyo ni leo , vipi nikipaendeleza zaidi,
Wewe endelea na huu uzi na utanielewa vizuri,
Bahati nzuri mimi sio mtu wa viwanja,
Kwa hiyo usini judge mapema hivyo
Baba angu achana na kujibu watu endelea tu kutusimulia mwishoni uko utawajibu woteHapana mimi sio kama hao mabaharia, soon utanielewa kama nafanana nao , sikua nimejiachia kiasi, na hata hi you future kama mambo yataenda hivi hivi na Mungu akipenda, bado nipo vizuri, hivi nikikwambia hata nikisraaful leo nina uhakika wa 250 M, utasema future yangu ni sawa sawa na hao mabaharia
Labda ndio maana alipatikana mteja mapema, lakini kumbuka nyumba kubwa nilikuwa bado sijapiga bati, ilikuwa ndio kwanza ipo kwenye Lenta na tofari zake tatu juu, na kipindi hicho ndio maneno ya hali yalaanza, kumbuka ndio kipindi vile vile wa sasa anaingia madarakani, kwa watu wakaanza kuwa waangalifu na pesa zao,Mkuu, kama haya ni ya kweli basi hiyo nyumba uliuza kwa bei ya hasara sana. 80,000,000 by 2016 ni hela ndogo sana ukilinganisha na jinsi ulivyoielezea hiyo nyumba na hilo eneo. Nyumba yangu yenye vyumba 4 nimeijenga kwa 60,000,000 lakini wala haipo eneo la kishua wala nini. Ipo huku uswazi kabisa how come wewe nyumba yenye kiwanja kikubwa na mazagazaga yote hayo uiuze kwa 80,000,000?
Kivipi, mimi sikutegemea hayo, uzuri wewe unabahati unajifunza kupitia hapa, mimi hiyo bahati sikuwa nayo, nNdio maana sijawahi waonea huruma, msiba wa kujitakia huo.
Mkuu vya jikoni bado tu? Muda umeenda sana, tunataka tukapumzike si unajua tena ?Hapana mimi sio kama hao mabaharia, soon utanielewa kama nafanana nao , sikua nimejiachia kiasi, na hata hi you future kama mambo yataenda hivi hivi na Mungu akipenda, bado nipo vizuri, hivi nikikwambia hata nikisraaful leo nina uhakika wa 250 M, utasema future yangu ni sawa sawa na hao mabaharia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vile vichwa vya chini huwa vinatuhenyesha,hata mchakamchaka wa jeshi siyo kitu![emoji1][emoji1][emoji1]
Relax.. Hebu pitia nyuzi kwanza!U can't be serious [emoji15][emoji15][emoji15]
Am no longer interested [emoji57][emoji57]
Shunie
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Sawa dear[emoji120]Relax.. Hebu pitia nyuzi kwanza!
Kwani alimshikia bunduki? Si alimfuata mwenyewe na kiranga chake.[emoji16][emoji16][emoji16] sasa hapo siunaona hi scenario inagusa jinsia zote 2 ... Adui was mwanamke ninani vileeeee .....................!???[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba angu achana na kujibu watu endelea tu kutusimulia mwishoni uko utawajibu wote
Thank dear