Yani huyu mwanamke na tena ni mchepuko anakuambia akushikie pesa na unakosa jibu unawaza ufanyaje mkuu, hebu anza kuamka hizo akili sio zako, usijaribu kumpa mwanamke kitita cha pesa zishike uzipangie matumiziBaada ya kuiuza ile nyumba, na kipindi hicho ujue tayali alishaanza kuwa na kachuki fulani hivi ambako sikukaelewa, ila akili yangu ilinituma labda hakupenda tuuze ila nyumba, mimi sikujali
Nafuatilia mkasa huu kwa makiniSasa baada ya kupokea lile fungu la kwanza
30m, mimi haraka sana nikaenda kupunguza madeni yangu, hata hivyo Hays kwisha
Hajui tunavoteseka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anataka wote tupate stress
Kosa lilianzia hapa kumpa pesa mwanamkeJibu lake lilikuwa ni kwamba unajua wewe una mke mkubwa na una familia kubwa huko unaweza kutumia kwa mambo mengine, baada ya kufikilia sana, nikaona ana hoja..
Ha ha kwani yeye yuko wapiHuku kwetu ni saa tano usiku, lala mkuu tuendelee kesho
Pole mkuu. Kwani ulikuwa hushindi sana pale kwa bibi mdogo? Nauliza hivi kwa sababu inaonekana watoto hawakuwa na bond kubwa na wewe.Sasa baada ya kupokea lile fungu la kwanza
30m, mimi haraka sana nikaenda kupunguza madeni yangu, hata hivyo Hays kwisha
Hapana, hawa watoto wa kike waangalie hivyo hivyo, unajua kwa sisi wadanyakazi na watoto , kuna kitu tuna kimiss lakini upande wangu bond ipo, na wananipenda,Pole mkuu. Kwani ulikuwa hushindi sana pale kwa bibi mdogo? Nauliza hivi kwa sababu inaonekana watoto hawakuwa na bond kubwa na wewe.
Mkuu nakushauri. Kaa itype stori nzima kisha uimwage hapa. Unatupa arosto kuturushia kidogokidogo.Wakati bado kijana, nlishawahi ku twist mguu wangu, sasa wakati sina hasira najua namna ya kuutembelea na kukimbia kidzain fulani hivi
Wengine wako wapi? Dadii usikae peke ako hivo utapata msongo wa mawazo upate shida ya moyoNgoja nile kwanza, maana nipo mwenyewe hapa,
Hata chakula najilazimisha
LAKINI BADO MSIFIKILIE VILE
Sawa mkuu. Shusha vitu. Stori yako tamu sana.Hapana, hawa watoto wa kike waangalie hivyo hivyo, unajua kwa sisi wadanyakazi na watoto , kuna kitu tuna kimiss lakini upande wangu bond ipo, na wananipenda,
Hilo neno nenda kwenu, inategemea mama yao huwa anwaambiaje
Mlalage hee! 😂😂😂Tunasubir mzee wetu[emoji18]
Ukirudi uje na majibu ya maswali hay, unajua stori nzima tangu umeanza unamuongelea sana huyo mchepuko, sijui ni muda gani ulikua unatumia na mkeo, mkuu hiyo ni laana na ndiyo maana unapitia mengi mabaya, mkeo hakustahili haya, kama ukitaka mke mdogo ungemtambulisha mkeo, haya ni mambo ya karma malipo ni hapa hapa dunianiNiishie hapo kwenye
Kukimbizana, nikirudi tujadili kwanza namna nilivyompata
Na upande wake wa pili kwanza, kwa nini nilichanganyikiwa, na mazuri yake