Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Baada ya kuiuza ile nyumba, na kipindi hicho ujue tayali alishaanza kuwa na kachuki fulani hivi ambako sikukaelewa, ila akili yangu ilinituma labda hakupenda tuuze ila nyumba, mimi sikujali
Yani huyu mwanamke na tena ni mchepuko anakuambia akushikie pesa na unakosa jibu unawaza ufanyaje mkuu, hebu anza kuamka hizo akili sio zako, usijaribu kumpa mwanamke kitita cha pesa zishike uzipangie matumizi
 
Wakati bado kijana, nlishawahi ku twist mguu wangu, sasa wakati sina hasira najua namna ya kuutembelea na kukimbia kidzain fulani hivi,

Sasa kumbe wakati ule nakimbia nilijisahau nikautwist na kuangukavibaya, niliendelea kukaa pale chini, kwa muda huku nataka kunyanyuka nashindwa, baadaye nikajivuta na matako mpaka kwenye kiti, kusema kweli hata kwenye kiti sikuweza kukaa,

Nikaaa pale chini baada ya muda, ndio akaja yule mwanamke na watoto wakaninyanyua na kunikalisha kwenye kiti,

Watoto wakachemsha maji na kunikanda kwa chumvi, kusema kweli siku nilikuwa naenda kwa bi mkubwa, lakini sikuweza,

Lakini nilimpa taarifa kuna msiba umetokea ofisini kwetu na huyo ni mtu wangu wa karibu.

Kesho yake maumivu bado yalikuwa makubwa nikajijikokota mpaka CCBRT, picha ikaonyeshwa kitu kinaitwa sijui LIGAMENT, ndio imepata madhara madhara,

Ile pesa kusema kweli yule Mwanamke aliikatalia

NI BUASHARA GANI ANATAKA KUFANYA?

Nitaendelea
 
Sasa baada ya kupokea lile fungu la kwanza
30m, mimi haraka sana nikaenda kupunguza madeni yangu, hata hivyo Hays kwisha
Pole mkuu. Kwani ulikuwa hushindi sana pale kwa bibi mdogo? Nauliza hivi kwa sababu inaonekana watoto hawakuwa na bond kubwa na wewe.
 
Pole mkuu. Kwani ulikuwa hushindi sana pale kwa bibi mdogo? Nauliza hivi kwa sababu inaonekana watoto hawakuwa na bond kubwa na wewe.
Hapana, hawa watoto wa kike waangalie hivyo hivyo, unajua kwa sisi wadanyakazi na watoto , kuna kitu tuna kimiss lakini upande wangu bond ipo, na wananipenda,
Hilo neno nenda kwenu, inategemea mama yao huwa anwaambiaje
 
Ngoja nile kwanza, maana nipo mwenyewe hapa,
Hata chakula najilazimisha
LAKINI BADO MSIFIKILIE VILE
Wengine wako wapi? Dadii usikae peke ako hivo utapata msongo wa mawazo upate shida ya moyo
 
Niishie hapo kwenye
Kukimbizana, nikirudi tujadili kwanza namna nilivyompata
Na upande wake wa pili kwanza, kwa nini nilichanganyikiwa, na mazuri yake
 
Hapana, hawa watoto wa kike waangalie hivyo hivyo, unajua kwa sisi wadanyakazi na watoto , kuna kitu tuna kimiss lakini upande wangu bond ipo, na wananipenda,
Hilo neno nenda kwenu, inategemea mama yao huwa anwaambiaje
Sawa mkuu. Shusha vitu. Stori yako tamu sana.
 
Mie ndio kwanza ninampango wa kuongeza Mke mwingine mwakani,ngoja nichukue hapa modality ya namna ya kuishi nao.
 
Niishie hapo kwenye
Kukimbizana, nikirudi tujadili kwanza namna nilivyompata
Na upande wake wa pili kwanza, kwa nini nilichanganyikiwa, na mazuri yake
Ukirudi uje na majibu ya maswali hay, unajua stori nzima tangu umeanza unamuongelea sana huyo mchepuko, sijui ni muda gani ulikua unatumia na mkeo, mkuu hiyo ni laana na ndiyo maana unapitia mengi mabaya, mkeo hakustahili haya, kama ukitaka mke mdogo ungemtambulisha mkeo, haya ni mambo ya karma malipo ni hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom