Sihitaji msamaha hii ni forum huru kila mtu ana mtazamo tofauti vile sikuandika ulichotaka ukasema na chuki na blah blah so it was my clarification nothing personal na sihitaji msamaha au kukereka na jinsi mwingine snavofikiri msitake kukuza Ili jambo ebooDa samahani wapendwa nilishaandikamwendeleza mkubwa tu bahati mbaya sijui umepotelea wapi,
Huyo mdada nimemsamehe bure, hata hivyo namwomba msamaha nilipomkera,
Au tulikuwa pamoja mpaka mwisho, pamoja na kwamba ameshatoa conclusion,
Acha unafikiHalafu hata sababu ya yeye kumshambulia mleta mada sijaiona.
Duuh..cjaona umuhim wa Kum'attack mzee wa watuHapo kwa chuki tu ndo nimekuona hamnazo that's was my opinion na wala haihusiki na chuki kabisa why should I envy someone older than me ambaye ana shindwa ku handle maisha yake na kuja kulia lia humu kwenye forum tena mwanaume it means your in dillema na huna peace of my mind, maana una force watu wakubaliane na justification zako wakati unaumia na kukukula ndani your not happy at all, tena unagutuka uzeeni dakika ya 59. Hyo sijui kuoa hata wa 18 sio shida je una nguvu za kiume za kutosha maana mabaharia wenzako wana handle hii issue kikawaida.
Wewe kubali uliingia Cha kike acha kutafta justification Ili upoze machungu ka viwanja hata mimi ninavyo sembuse mzee mzima unayekaribia ku expire kweli, pole hii kitu itakukula then mkeo ndo wa kuja kukulea so hyo kujenga sio viwanja watu wengi Wanavyo, so usione kuandika hivo eti mie nitaona wivu kwa kipi hasa shaaaaa in maasai voice.
Wewe tuliza mshono wako bwana ur not exceptional watu Wana wake wengi na hawajilizi Hadi sasa kuhangaika na mchepuko ni kwamba huna amani
Wewe mwanaume suruali utahangaika Sana na Mimi humu JF kwa I'd tofauti utachoka, hyo akili nzuri sijui elimu blah blah ndilo uliwazalo akilini mwako. Kilichobaki ni kukuweka ignore list, maana sio Uzi huu tu kila nyuzi tofauti unakuja na ushubwada wako tu, sijui una matatizo gani.Wewe akili zako siyo nzuri,daima nitakwambia ukweli. Either huna malezi mazuri au kaelimu ulichonacho kanakufanya ujione unajua sana
NaaamSamahani km ntakwaza watu lakini mi naupenda uislamu wangu uliohalalisha wake wanne. Kwa kweli toka dunia ianze wanaume hawajawahi kutosha huyo Dada Leo miaka 20 na zaidi anaishia kuitwa mchepuko wakati angekua muislam angemuoa.
Kingine mbona wakurya wana mitala nnao huku kanda maalum yaani mitala kama zote .
Huyo demu nae kimeo 20yrs unakubali kufichwa km Arv vile...!!! Au ndo tamaa ya pesa mweee!pole yake aseh
Sent using Jamii Forums mobile app
We nawe utulie,tuko wengi tunaomsikiliza mleta mada tunataka kujifunza. Kama haikuvutii angalia mada zingine huko.Hapo kwa chuki tu ndo nimekuona hamnazo that's was my opinion na wala haihusiki na chuki kabisa why should I envy someone older than me ambaye ana shindwa ku handle maisha yake na kuja kulia lia humu kwenye forum tena mwanaume it means your in dillema na huna peace of my mind, maana una force watu wakubaliane na justification zako wakati unaumia na kukukula ndani your not happy at all, tena unagutuka uzeeni dakika ya 59. Hyo sijui kuoa hata wa 18 sio shida je una nguvu za kiume za kutosha maana mabaharia wenzako wana handle hii issue kikawaida.
Wewe kubali uliingia Cha kike acha kutafta justification Ili upoze machungu ka viwanja hata mimi ninavyo sembuse mzee mzima unayekaribia ku expire kweli, pole hii kitu itakukula then mkeo ndo wa kuja kukulea so hyo kujenga sio viwanja watu wengi Wanavyo, so usione kuandika hivo eti mie nitaona wivu kwa kipi hasa shaaaaa in maasai voice.
Wewe tuliza mshono wako bwana ur not exceptional watu Wana wake wengi na hawajilizi Hadi sasa kuhangaika na mchepuko ni kwamba huna amani
Yeye kaanza sasa chuki zetu wanawake Zina relate nini na uzi.Duuh..cjaona umuhim wa Kum'attack mzee wa watu
Nikwambie kitu, yafanye kuisha sisi ni binadamu hakuna aliyekamilika. Funga mjadala kuhusu hili.Sihitaji msamaha hii ni forum huru kila mtu ana mtazamo tofauti vile sikuandika ulichotaka ukasema na chuki na blah blah so it was my clarification nothing personal na sihitaji msamaha au kukereka na jinsi mwingine snavofikiri msitake kukuza Ili jambo eboo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi tena kosa letu ni niniShunie
Witness j
Maya
Espy
Wambeya wakubwa nyie mnajidai wanyenyekevu ma wenye nidhamu kumbe wanafik
DuhNaendelea tulipoachia pale, alipopata zile pesa,
Tulipo tulia kidogo, nilimuuliza kwa utaratibu sana kuwa ni biashara gani anataka kufanya?
Hakunijibu kitu, alichagua kukaa kimya,
Baadaye nikawaita watoto na kuwasimulia, kilichosababisha tugombane na mama yao,
Na nini wazo lao, je wanakubaliana na mimi au mama yao,sasa sielwe labda ni umri au mama yao tayari alishawapa matumaini ya biashara yake mpya au italipa sana.
Nikawaambia umuhimu wa kuwa na kiwanja kwanza na biashara ifate baadaye kwa kuwa huo ni mwezi December 2016 na fungu la kwanza ndio hilo tunapigana,
Mwezi wa kwanza au wa pili tunapata fungu la pili, na hapa sio kwetu tena, sisi ni wapangaji, muda ukifika mwenye nyumba anahitaji kwake,
Sikuona jibu lolote la kueleweka.
Baaday kabisa tena nikamuuliza mmama aniambie ni biashara gani anataka kufanya,
Akanijibu anahitaji biashara ya kupeleka nguo mikoani,
Mimi nikamjibu hiyo biashara mimi sitaiafiki,
Na sababu ninazo.
NATUMA HII KWANZA ISIJE IKAPOTEE NA YENYEWE HALAFU NAENDELEA
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kunywa maji u relax sijanyima mtu mimi acha kiherehere Basi kahWe nawe utulie,tuko wengi tunaomsikiliza mleta mada tunataka kujifunza. Kama haikuvutii angalia mada zingine huko.
[emoji1][emoji1][emoji1]Nikwambie kitu, yafanye kuisha sisi ni binadamu hakuna aliyekamilika. Funga mjadala kuhusu hili.
Amesema "Ila tatizo lingine kubwa ni nalo liona nyinyi wanawake mna chuki na husuda kwa wenzenu wenye maisha mazuri, na hayo maneno yenu ndio chanson cha kuwaingiza chaka na kuharibu kabisa maisha yao" ambapo kwa asilimia kubwa ni kweli.Sina tatizo lolote ni hisia zako tu nilitoa maoni yangu vile hayakumpendeza akasema na chuki kwa wanawake zake ambao hata siwajui hata kwa sura na kama alitaka niandike yaliyo kichwani mwake I'm not Jesus'Christ to understand what he thinks, so sio kila anayeandika tofauti na anachotaka ni chuki so nikamjibu hivo, hafu Mimi huwa sipaki jambo langu mafuta kwa mgongo wa chupa sasa nione wivu kwa mada yake kisa nini kwanini na compete na hao ajuza wake wanaompelekesha puta.
N. B that's was my opinion sikuwa na chuki yoyote jamani wala wivu na watu wazima walionizidi Hadi dhambi looooh
Wewe Cariha kweli una shida sehemu flani. Mbona jamaa yupo general sana kwenye hii comment yake. Hii comment yake haijakulenga wewe, alikuwa anaongelea in general attitude ya wanawake.Yeye kaanza sasa chuki zetu wanawake Zina relate nini na uzi.
Acheni unafiki yeye comment yangu kaanza kuingiza wivu na chuki blah blah, sasa uliteke nimwache tu hivi hivi,maana anavoeleza vingi vimefamywa na vijana wadogo.
Soma hyo screen shot ya comment yakeView attachment 1699064
Unajua hapo penye chuki ulikuwa hujamuelewa mleta mada, alikuwa akimaanisha kumwelezea bi mdogo kuwa tamaa alizokuwa akiona kutoka kwa wenzie na maisha mazuri ndo yaliyochangia kumfikisha hapo alipo.Yeye kaanza sasa chuki zetu wanawake Zina relate nini na uzi.
Acheni unafiki yeye comment yangu kaanza kuingiza wivu na chuki blah blah, sasa uliteke nimwache tu hivi hivi,maana anavoeleza vingi vimefamywa na vijana wadogo.
Soma hyo screen shot ya comment yakeView attachment 1699064
Hahaha.... Halali ipo wazi na Haramu ipo waziwazee wetu wanazingua sana ndio mana wakistaafu hela huwa haionekani utakuta mshua kapiga milioni 250 ilikoenda haijulikani