Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Da samahani wapendwa nilishaandikamwendeleza mkubwa tu bahati mbaya sijui umepotelea wapi,

Huyo mdada nimemsamehe bure, hata hivyo namwomba msamaha nilipomkera,

Au tulikuwa pamoja mpaka mwisho, pamoja na kwamba ameshatoa conclusion,
Sihitaji msamaha hii ni forum huru kila mtu ana mtazamo tofauti vile sikuandika ulichotaka ukasema na chuki na blah blah so it was my clarification nothing personal na sihitaji msamaha au kukereka na jinsi mwingine snavofikiri msitake kukuza Ili jambo eboo
 
Hapo kwa chuki tu ndo nimekuona hamnazo that's was my opinion na wala haihusiki na chuki kabisa why should I envy someone older than me ambaye ana shindwa ku handle maisha yake na kuja kulia lia humu kwenye forum tena mwanaume it means your in dillema na huna peace of my mind, maana una force watu wakubaliane na justification zako wakati unaumia na kukukula ndani your not happy at all, tena unagutuka uzeeni dakika ya 59. Hyo sijui kuoa hata wa 18 sio shida je una nguvu za kiume za kutosha maana mabaharia wenzako wana handle hii issue kikawaida.
Wewe kubali uliingia Cha kike acha kutafta justification Ili upoze machungu ka viwanja hata mimi ninavyo sembuse mzee mzima unayekaribia ku expire kweli, pole hii kitu itakukula then mkeo ndo wa kuja kukulea so hyo kujenga sio viwanja watu wengi Wanavyo, so usione kuandika hivo eti mie nitaona wivu kwa kipi hasa shaaaaa in maasai voice.
Wewe tuliza mshono wako bwana ur not exceptional watu Wana wake wengi na hawajilizi Hadi sasa kuhangaika na mchepuko ni kwamba huna amani
Duuh..cjaona umuhim wa Kum'attack mzee wa watu
 
Wewe akili zako siyo nzuri,daima nitakwambia ukweli. Either huna malezi mazuri au kaelimu ulichonacho kanakufanya ujione unajua sana
Wewe mwanaume suruali utahangaika Sana na Mimi humu JF kwa I'd tofauti utachoka, hyo akili nzuri sijui elimu blah blah ndilo uliwazalo akilini mwako. Kilichobaki ni kukuweka ignore list, maana sio Uzi huu tu kila nyuzi tofauti unakuja na ushubwada wako tu, sijui una matatizo gani.
 
Samahani km ntakwaza watu lakini mi naupenda uislamu wangu uliohalalisha wake wanne. Kwa kweli toka dunia ianze wanaume hawajawahi kutosha huyo Dada Leo miaka 20 na zaidi anaishia kuitwa mchepuko wakati angekua muislam angemuoa.

Kingine mbona wakurya wana mitala nnao huku kanda maalum yaani mitala kama zote .

Huyo demu nae kimeo 20yrs unakubali kufichwa km Arv vile...!!! Au ndo tamaa ya pesa mweee!pole yake aseh

Sent using Jamii Forums mobile app
Naaam
Nipo nyuma yako kwenye hili
 
Naendelea tulipoachia pale, alipopata zile pesa,

Tulipo tulia kidogo, nilimuuliza kwa utaratibu sana kuwa ni biashara gani anataka kufanya?

Hakunijibu kitu, alichagua kukaa kimya,

Baadaye nikawaita watoto na kuwasimulia, kilichosababisha tugombane na mama yao,

Na nini wazo lao, je wanakubaliana na mimi au mama yao,sasa sielwe labda ni umri au mama yao tayari alishawapa matumaini ya biashara yake mpya au italipa sana.

Nikawaambia umuhimu wa kuwa na kiwanja kwanza na biashara ifate baadaye kwa kuwa huo ni mwezi December 2016 na fungu la kwanza ndio hilo tunapigana,

Mwezi wa kwanza au wa pili tunapata fungu la pili, na hapa sio kwetu tena, sisi ni wapangaji, muda ukifika mwenye nyumba anahitaji kwake,

Sikuona jibu lolote la kueleweka.

Baaday kabisa tena nikamuuliza mmama aniambie ni biashara gani anataka kufanya,

Akanijibu anahitaji biashara ya kupeleka nguo mikoani,
Mimi nikamjibu hiyo biashara mimi sitaiafiki,
Na sababu ninazo.

NATUMA HII KWANZA ISIJE IKAPOTEE NA YENYEWE HALAFU NAENDELEA
 
Hapo kwa chuki tu ndo nimekuona hamnazo that's was my opinion na wala haihusiki na chuki kabisa why should I envy someone older than me ambaye ana shindwa ku handle maisha yake na kuja kulia lia humu kwenye forum tena mwanaume it means your in dillema na huna peace of my mind, maana una force watu wakubaliane na justification zako wakati unaumia na kukukula ndani your not happy at all, tena unagutuka uzeeni dakika ya 59. Hyo sijui kuoa hata wa 18 sio shida je una nguvu za kiume za kutosha maana mabaharia wenzako wana handle hii issue kikawaida.
Wewe kubali uliingia Cha kike acha kutafta justification Ili upoze machungu ka viwanja hata mimi ninavyo sembuse mzee mzima unayekaribia ku expire kweli, pole hii kitu itakukula then mkeo ndo wa kuja kukulea so hyo kujenga sio viwanja watu wengi Wanavyo, so usione kuandika hivo eti mie nitaona wivu kwa kipi hasa shaaaaa in maasai voice.
Wewe tuliza mshono wako bwana ur not exceptional watu Wana wake wengi na hawajilizi Hadi sasa kuhangaika na mchepuko ni kwamba huna amani
We nawe utulie,tuko wengi tunaomsikiliza mleta mada tunataka kujifunza. Kama haikuvutii angalia mada zingine huko.
 
Duuh..cjaona umuhim wa Kum'attack mzee wa watu
Yeye kaanza sasa chuki zetu wanawake Zina relate nini na uzi.
Acheni unafiki yeye comment yangu kaanza kuingiza wivu na chuki blah blah, sasa uliteke nimwache tu hivi hivi,maana anavoeleza vingi vimefamywa na vijana wadogo.
Soma hyo screen shot ya comment yake
Screenshot_20210210-113118_1.jpg
 
Sihitaji msamaha hii ni forum huru kila mtu ana mtazamo tofauti vile sikuandika ulichotaka ukasema na chuki na blah blah so it was my clarification nothing personal na sihitaji msamaha au kukereka na jinsi mwingine snavofikiri msitake kukuza Ili jambo eboo
Nikwambie kitu, yafanye kuisha sisi ni binadamu hakuna aliyekamilika. Funga mjadala kuhusu hili.
 
Naendelea tulipoachia pale, alipopata zile pesa,

Tulipo tulia kidogo, nilimuuliza kwa utaratibu sana kuwa ni biashara gani anataka kufanya?

Hakunijibu kitu, alichagua kukaa kimya,

Baadaye nikawaita watoto na kuwasimulia, kilichosababisha tugombane na mama yao,

Na nini wazo lao, je wanakubaliana na mimi au mama yao,sasa sielwe labda ni umri au mama yao tayari alishawapa matumaini ya biashara yake mpya au italipa sana.

Nikawaambia umuhimu wa kuwa na kiwanja kwanza na biashara ifate baadaye kwa kuwa huo ni mwezi December 2016 na fungu la kwanza ndio hilo tunapigana,

Mwezi wa kwanza au wa pili tunapata fungu la pili, na hapa sio kwetu tena, sisi ni wapangaji, muda ukifika mwenye nyumba anahitaji kwake,

Sikuona jibu lolote la kueleweka.

Baaday kabisa tena nikamuuliza mmama aniambie ni biashara gani anataka kufanya,

Akanijibu anahitaji biashara ya kupeleka nguo mikoani,
Mimi nikamjibu hiyo biashara mimi sitaiafiki,
Na sababu ninazo.

NATUMA HII KWANZA ISIJE IKAPOTEE NA YENYEWE HALAFU NAENDELEA
Duh
 
We nawe utulie,tuko wengi tunaomsikiliza mleta mada tunataka kujifunza. Kama haikuvutii angalia mada zingine huko.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kunywa maji u relax sijanyima mtu mimi acha kiherehere Basi kah
 
Sina tatizo lolote ni hisia zako tu nilitoa maoni yangu vile hayakumpendeza akasema na chuki kwa wanawake zake ambao hata siwajui hata kwa sura na kama alitaka niandike yaliyo kichwani mwake I'm not Jesus'Christ to understand what he thinks, so sio kila anayeandika tofauti na anachotaka ni chuki so nikamjibu hivo, hafu Mimi huwa sipaki jambo langu mafuta kwa mgongo wa chupa sasa nione wivu kwa mada yake kisa nini kwanini na compete na hao ajuza wake wanaompelekesha puta.
N. B that's was my opinion sikuwa na chuki yoyote jamani wala wivu na watu wazima walionizidi Hadi dhambi looooh
Amesema "Ila tatizo lingine kubwa ni nalo liona nyinyi wanawake mna chuki na husuda kwa wenzenu wenye maisha mazuri, na hayo maneno yenu ndio chanson cha kuwaingiza chaka na kuharibu kabisa maisha yao" ambapo kwa asilimia kubwa ni kweli.

Sababu iliyopelekea bi mdogo akaishia kwa mtoa mada ni baada ya kubeba ujauzito na kuzaa mtoto wa kwanza. Unamshauri bora angemchuna halafu atafute mwanaume mwingine.

Sio kila mtu anaona ni vizuri watoto wake kuwa na baba tofauti tofauti hiyo ni moja.
Mbili, sio kwamba mtoa mada alikuwa hamlei vizuri, mtu kamchukulia kama mke wake halali kamjengea nyumba , watoto wamesoma, watoto wana pata haki zao zote za msingi halafu unamuona huyo mwanamke ni mjinga? Bora angemchuna huyu mwanaume wakaolewe akiwa tayari ana mtoto?

Ni wanawake wangapi wamezaa na wanaume za watu na wametelekezwa wanalea watoto wao wenyewe?

Ni wanawake wangapi wapo kwenye ndoa lakini waume zao hawalei watoto wao kwa mapenzi?

Kwanini huyo Dada afanye unyama wa kumchuna mtoa mada na kukimbia? Una uhakika gani huko ambapo angekimbilia angeenda kupata furaha zaidi ya anayoipata kwa mtoa mada?

Tena na vile angekuwa single mother angeteseka sana na kutamani kurudi kwa mtoa mada. Ushauri ambao ungemshauri huyo bi mdogo ungemwangamiza. Ni ushauri mbaya.
 
Yeye kaanza sasa chuki zetu wanawake Zina relate nini na uzi.
Acheni unafiki yeye comment yangu kaanza kuingiza wivu na chuki blah blah, sasa uliteke nimwache tu hivi hivi,maana anavoeleza vingi vimefamywa na vijana wadogo.
Soma hyo screen shot ya comment yakeView attachment 1699064
Wewe Cariha kweli una shida sehemu flani. Mbona jamaa yupo general sana kwenye hii comment yake. Hii comment yake haijakulenga wewe, alikuwa anaongelea in general attitude ya wanawake.
 
Yeye kaanza sasa chuki zetu wanawake Zina relate nini na uzi.
Acheni unafiki yeye comment yangu kaanza kuingiza wivu na chuki blah blah, sasa uliteke nimwache tu hivi hivi,maana anavoeleza vingi vimefamywa na vijana wadogo.
Soma hyo screen shot ya comment yakeView attachment 1699064
Unajua hapo penye chuki ulikuwa hujamuelewa mleta mada, alikuwa akimaanisha kumwelezea bi mdogo kuwa tamaa alizokuwa akiona kutoka kwa wenzie na maisha mazuri ndo yaliyochangia kumfikisha hapo alipo.

Nadhani hapo ilikuwa ni tafsiri tu ya paragraph.

Ok, tuyaache basi hayo yote, tuendelee na mada.
 
Kumbe hiyo biashara aliyoifikilia, mke wa yule rafiki yangu ndio anaifanya (yule shemeji nilipompatia huyu mke wangu)

Nikamkumbusha namna yule rafiki yangu anavyomtuhumu mke wake kutokuwa mwaminifu huko anapokwenda mikoani,

Na namna hawa dada zetu wanahadaiwa kwa unafuu wa gharama mbalimbali wakiwa huko, kuanzia nauli , malazi na hata chakula,

Na wanajikuta wanaingia mkenge either kwa bahati mbaya au kukusudia

Kipindi fulani huyu rafiki yangu aliwahi kunisimulia jinsi alivyopata taarifa kuwa kuna kamwona maeneo ya ubungo leo, lakini alishaaga anaenda mkoa siku tatu zilizopita, na kila akimpigia simu haipokelewi,

Hayo tutaache, huyo shemeji tumeite mama N,
Na kusema kweli alikuwa ni mke wa pili baada ya jamaa yangu kuachana mke wa kwanza.

Basi baada ya kumsomesha sana, nikakumbuka biashara fulani ambayo niliambia kuna mstaafu fulani anaifanya na haina plesha sana,

Biashara yenyewe kukusanya mpunga halafu baadaye bei ikipanda unaenda kuuza, kusema kweli wakati mwingine bei ikiwa nzuri unaweza uza hata mala mbili yake,

Bahati nzuri huyu mke wangu ana Baba mdogo maeneo hayo ambapo mpunga unalimwa, a yupo njema tu, ana eka zaidi ya 500 na ana godown lake mwenyewe la kuhufadhi mpunga wake na mipunga ya watu kwa malipo,

Bahati mbaya hana maelewano mazuri na kaka yake,

Hilo wazo naona alilifurahia na uzuri pale kwa Baba yake mdogo kuna binti vile vile wa umri wake,
Akaona ndio atakuwa anafikia hapo,
 
Back
Top Bottom