kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
Kwa vile watoto ni wako hamna,shida,kama walikuomba usiwaache ni sawa kaka.kumbuka,kuzaa sio kupataNiandikie hiyo hiyo, namshurutisha abadili jina lake aweke langu kama baba, anaenda kubadili anaweka la watoto,
Nikavuta muda kutafakari na kujirudhisha