Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Niandikie hiyo hiyo, namshurutisha abadili jina lake aweke langu kama baba, anaenda kubadili anaweka la watoto,
Nikavuta muda kutafakari na kujirudhisha
Kwa vile watoto ni wako hamna,shida,kama walikuomba usiwaache ni sawa kaka.kumbuka,kuzaa sio kupata
 
Mkuu usiwe na haraka ya kupost

Sisi tupo wewe tulia uandike aya kadhaa ndo uweke

Asante ni ushauri tu
 
3- january hiyo hiyo tunakutana site kila mmoja akitokea kwake,hana mazungumzo na mimi hata nikimwambia tupige picha ya ukumbusho, hataki, alikuja na mtoto mmoja,
Najikunyata pembeni ujenzi unaendelea muda wa kuondoka jioni tumepanga wote kwenda kwake na mimi na kaka hukohuko
Naita bodaboda 2 , zinakuja kwa kufuatana wenyewe wakatanguliana ya kwanza, kwenda kituoni nakuta wameshapanda daradara wameondoka
Kumbuka mwendo wa safari ni masaa 3
 
Heri huyo hajui chochote na hamjui bimdogo kama yupo, wengine wanakuletea hukohuko ndani.... mtoto anazaliwa na mnasaidiana kutunza kumbe mtoto wa mume wako mwenyewe😅😅😅
Ndoa hizi😀😀

Nina aunt yangu mke wa mjomba wangu yule mwanamke ana Moyo Aisee..tena moyo wa kipekee sijapata kuona..yule mumewe anazaa nje na mtoto anapelekewa yeye alee..na si ile bahati mbaya labda mtoto mmoja la hasha..!!..watoto watatu..juzi juzi hapa kataka kuletewa wengine wawili wadogo kaona imetosha kagoma kuwapokea..wanaume Hawa😂😂😂
 
Mkuu kwa uandishi huu unaharibu stori nzima. Utafanya watu wengi wasiifuatilie tena maana inabore sana. Tulia uandike kisha tumwagie mkeka wa kutosha.
 
🙆🙆 miaka 50 muda wa kukusanya kodi we ndio una chimba msingi wa nyumba ndogo mzee una majanga
 
Good things happen to good people, jikaze,kaka.
 
5- feb mwanzoni tunapata pesa yetu ya mwisho,
Ujenzi unaendlea tena, mpaka kwenye lenta,
Tunasubiri kidogo ikauke,

6- March, tunaenda kununua mbao na fundi anaanza kupiga bati, namshauri tuchimbe na kisima kwa sababu ni makao na jirani yetu mmoja kuna gari inachimba hapo, tunaambiwa ni 2.8 m,
Pesa haitoshi,
 
Ila mapenzi yana ujinga sana, mtu umeshaambiwa, umeshaona, umeshajibiwa hovyo, umeshanusurika kupigwa mawe bado upo tuuu
 
So far so good.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] naimani now anakiri kuwa alifanya mistake ndio maana akaja hapa ... So Akubali tu kuwa kupata negative comments katika situation Kama hi nikawaida awe mvumilivu tu
Hapo ndo nashindwa kuelewa kwann hataki tukosoe pa kukosoa. Au ndo mkubwa hakosei?
 
7- March hiyohiyo mwishoni, nyumba imeisha lakini bati zimepungua, kumbuka bati tulikuwa nazo kwa ajili ya ile nyumba ya kwanza,
Ila vipimo vlibadilika kidogo,

8- March hiyo hiyo anaomba kwenda kwao, nasimamia bati sasa mimi mwenyewe, huo upungifu unanikuta nipo mwenyewe,
Nampigia simu anasema pesa imekwisha
 

Watoto niliokuta nitawalea tena kama wangu wa kuzaa; ila watoto wakunikuta silei, na sio kwamba ntawachukia NO! Sioni sababu ya kulea watoto ambao wazazi wao wamewazaa kwa malengo.
Baba yao alijua ana commitment na mama yao alijua pia na bado wakaamua kuzaa kwanini washindwe kulea🙄🙄
 
Ila mapenzi yana ujinga sana, mtu umeshaambiwa, umeshaona, umeshajibiwa hovyo, umeshanusurika kupigwa mawe bado upo tuuu
Samahani lakini mzee pimbi kweli ujuwe asipo ambiwa ukweli atazidi kuwa pimbi miaka 50 ni miaka ya kukusanya kodi yeye ndio ana chimba msingi wa nyumba ndogo
 

P2 hazimezwi Kama pipi wewe ni mademu gani hao unawapata hawajijali hata afya zao wanazimeza tu
P2 kutumia zikizidi sana ni mara mbili kwa mwaka inaitwa emergency contraceptive sasa nyie mna njunjana kila siku hizo ni emergency kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu wabongo bana
Wewe endelea kwenda kavu siku uje utusimulie hapa tukushauri sawa eeh baba
 

Ningekua mimi ndio wewe hata hiyo ndogo sijengi ng'o!

Ambacho ningefanya ni kurudi kwa mke wangu, kumweleza ukweli na kulea watoto. Najua mke angeelewa maana hakuna neno zuri kama kuombwa msamaha wa kosa ambalo hulijui...... Yaani unaelezwa kosa na kuombwa msamaha

Hapo ndio angejua kukutana na mjumbe mwenye roho yake ya Wajumbe mfyuuuu
fundi25 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…