Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

23- sep ananiambia ile biashara ya kuhifadhi mpunga anaona sio nzuri kwa hiyo anampango wa kufuata mchele Ifakara, yaani aende huko akae wiki moja akikusanya halafu apande gari arudi na mchere anaukuta kwa madalali Tandika,

Hilo wazo sikuliafiki kabisa,
Keshe yake akapanda gari akaenda huko narudi nyumbani sikumkuta mtu na ufunguo kampa jirani nikija anikabidhi,
 
Duu nimetumia saa 3 kufuatilia huu uzi.
Wanaume wenzangu....kama mwanamke hana mapenzi na mimi....watoto na mali kwangu si chochote.
Mwachie nyumba zake urudi kwa mke wwako mkubwa kumalizia uzee.
Hawa mabinti wanaringia kuloga na kugawana.
Anyway umepata cha kusimulia wajukuu
 
Kosa pesa ujue tabia ya mchepuko wako
 
Una,umri gani?Una watoto wangap?wana umri/jinsia gani?Tuanzie hapo nijibu.
Siwezi yaweka wazi wala umri wangu sio kigezo chakuto kujuwa plan za kesho!!
Vyote ulivyo uliza havina uhusiano na ushauri!
Dr wa miaka 20 anatibu watu warika zote
 
[emoji16][emoji16][emoji16]pole
 
Nimevumilia kutocomment ila nimeshindwa kwa hii comment yako. Wewe una uzoefu hakika. Hakuna mwanamke anayerisk maisha yake asilani. Mwanamke yeyote anaishi na mwanaume kama anajua kuna faida iwe leo au kesho (future). Mawanamke projector (projection) mzuri ingawa anaweza kuwa estimator (estimates) mbaya.

Kwa kutambua wanawake walivyo, nilikataa kuoa binti nikaoa aliyemuita bibi kizee kwa vile tulipishana miaka 20.
 
Nilete kisa changu hapa ili mnishauri thubuuu Bora mninyonge

Watu wenyewe mnamidomo mnaongea Kama kasuku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
24- sep hiyo hiyo, sasa biashara anafanya juu kwa juu, akitoka kupakia mzigo anapitia huko huko kwenda kwao, Dar harudi,
Nikimpigia simu anakata na matusi juu,
Nikiwapigia ndugu zake anawatukana,
Na hapa kwangu anasema hakanyagi,
Naamua kumfuata huko polini, nilipofika nikampigiasimu tena, akapokea akasema keshaondoka huko, yupo kwao,
Nikamtumia boda boda ampigia simu amwambie kuwa ana mchele anauza,
Naye akamjibu katoka huko labda amuunganishr na mtu, akamwambia tena kwani upo wapi dada, akamtajia kijiji cha jirani
Nikaenda huko huko
 
[emoji16][emoji16][emoji16]aisee Mzee umepitia mazito Sana
 
Nilete kisa changu hapa ili mnishauri thubuuu Bora mninyonge

Watu wenyewe mnamidomo mnaongea Kama kasuku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwani unafikilia hatuna majanga yetu tunabaki nayo wenyewe

Eti nije jf niweke thread kutaka ushauri mimi huyu haitatokea hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…