The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
[emoji2296][emoji2296][emoji23]wacha bhana, kumbe kuna saa mnakamatika kweli kweliBosi mapenzi ukisha zama, hata kufikiria tu kuachana nae miguu inakuishia nguvu, ukiwaza ndo milele raha atampa mtu mwingine basi homa inakuopanda unakosa hata hamu ya chakula
Kaka ulikosea,usingewafkuz watotoDecember mwanzoni watoto wamerudi
Nawafukuza kesho yake nawapandisha bus kuwarudisha hukohuko
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Huyo rafiki yako alikuambia ukweli yaani na elimu yako hiyo uliyonayo pa1 na exposure Kubwa uliyonayo kupitia career yako imekuwaje ukaenda kuchukua mwanamke ambaye Ni low minded kiasi hicho ..yaani fundi cherehani anakuburuza hivyo mtu una exposure kubwa ya maisha na kwa level ya elimu yako na status uliyonayo kikazi unaweza ukang'oa mwanamke yeyote yule unayempenda ...... Sorry I have to say this Mzee wangu umepata nafasi nzuri kikazi na kimaisha lakini kwa muktadha wa hii simulizi unayo tupatia nashawishika kusema kwamba haujawahi kuenjoy maisha yako vile inavyo stahili ... Ulishindwa kuilinda brand ............... " Binafsi siwezi kumpa mwanamke wa hovyo hovyo nafasi ya kutawala maisha yangu hata siku 1 ..... Yaani kwanza siku ambayo atakayo nijibu shit tu ndio siku hiyo hiyo naachana nae hanioni mazima ktk maisha yake' nachukia violence Kama navyo ichukia Corona27- namwomba yule rafiki ajaribu amwambie nina maongezi naye lakini, anajibu sisi tumekuja kwa shughuli ya mtoto, nikamwomba basi naomba niongee na wewe,
Akasema lakini nikupe simu ya mzee ili alinipe ruhusu ya kuongea na wewe,
Yule rafiki yangu alinivuta shati kwa ghafla bila kutegemea,
Akaniambia tuondoke, ‘kumbe mwanamke mwenyewe ndio huyu, mbona yupo,(primitive sana) mmm yaani mke wangu Primitive, aliishia tu kuniambia yule sio mwanamke wa kunisumbua mimi, yaani sio hadhi yangu kabisa, kwamba ana mwonekano wa kishamba hasa, acha tabia yake.
Dah polee sana harakati za siri dunia ndivyo ilivyoWadad
Maneno ya dhihaka sana haya, hujui yanamuumaje.
Bro hii n zaidi ya uvumilivu..26, sep mwishoni,
Mahafari ya mtoto Dar ,
A
Nasikia kaja lakini kaenda moja kwa moja kwa rafiki,asubuki saa nne nipo, mala nawaona wanakuja, nilienda na rafiki yangu mmoja wa kazini,
Wanafika wote wananipita bila kunisalimia,
Mimi nawasalimu kimya,wamekuja na vyakula vya mtoto na keki,
50yrs mnamuita babu? You guys are not serious hata kidogo. Amefanya makosa kweli, lakini who are we to judge him, kila mtu ana namna yake amekosea sehemu, msiniambie hadi umri mliofikia hakuna sehemu mlibugi, yaani nyie yamewanyookea katika angle zote za maisha, iwe elimu, afya, mahusiano nk.[emoji1][emoji1][emoji1]huyu babu anakaribia 70 anatuzuga na Sasa kafulia kumfuraisha mchepuko
Hahah hahah! Teh! Teh! Teh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekuwa shughuli pevu mkuuDecember mwanzoni watoto wamerudi
Nawafukuza kesho yake nawapandisha bus kuwarudisha hukohuko
Heri nusu Shari kuliko Shari kamili !Bosi mapenzi ukisha zama, hata kufikiria tu kuachana nae miguu inakuishia nguvu, ukiwaza ndo milele raha atampa mtu mwingine basi homa inakuopanda unakosa hata hamu ya chakula
Naam kwa mfano nikiwa na manzi ananisumbua nafungua Uzi Kama huu nasoma comments za wachangiaji najua lazima nitapata majibu ya Nini Cha kufanya halafu nachukua huo ushauri nakwenda kuufanyia kazi katika matatizo yangu ..lakini sio eti Mimi nije nifungue Uzi humu [emoji16][emoji16][emoji16] watu humu mnavyo chamba sisi wengine tuna mioyo midogo nitakufa kwa pressure [emoji16][emoji16][emoji119]Eeenh humu tunakuja tu kusoma ya watu kama hivi na kushauri basi
Yani jf tunakuja kufurahisha nafsi zetu na kupunguza stress zetu jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]si utani, unaeza ona dunia imebadilika rangi na kuwa na rangi ya ajabu, haivutii tena.[emoji2296][emoji2296][emoji23]wacha bhana, kumbe kuna saa mnakamatika kweli kweli
[emoji16][emoji16][emoji16] you see !!!!Mimi msomaji tu yananiuma sijui kwa kweli watu wana mioyo ya namna gani kuandika maneno ya kuumiza wengine hivyo, ila humu wachawi wamo pia.
Mimi Muoga Sana siwezi kufika hiyo stage kwanza nikifikiria Yale maumivu ya brokenheart [emoji174] jinsi yalivyo looooohKwakweli alinyooshwa sio kitoto
Aiseee!Jan mwanzoni wanarudi tena naamua ngoja tu wakae,
32-Jan hiyohiyo wote wanarudi shuleni kwao
33- January nasikia amerudi analadhimisha apewe funguo, akakataliwa mpaka mimi niwaambie kwa mdomo wangu hao majirani zangu akagombagomba hapo mwishoe aondoke
34 - kesho yake mchungaji akaniita na mke wangu kuomba arudi ndani,
35,-baada ya mazungumzo marefu, anatamkia mchumgaji hii nyumba ni yake, mimi nilishachukua fungu langu, yaani ile mil 15
Wengi ni toxic,ni single mother's, wanahangaika kuumiza watu coz wanetelekezwa.But l can't imagine a world without such people.50yrs mnamuita babu? You guys are not serious hata kidogo. Amefanya makosa kweli, lakini who are we to judge him, kila mtu ana namna yake amekosea sehemu, msiniambie hadi umri mliofikia hakuna sehemu mlibugi, yaani nyie yamewanyookea katika angle zote za maisha, iwe elimu, afya, mahusiano nk.
Let's not be quick to point fingers coz hata sisi kuna mahali tumeanguka kabisa.
Dunia ni pamoja na vilivyomo, Yaani mimi na wewe😅😅Dunia au wewe
It could be paradiseWengi ni toxic,ni single mother's, wanahangaika kuumiza watu coz wanetelekezwa.But l can't imagine a world without such people.