Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Tupo irrational sana, 50yrs ni kibabu?, labda kama kwao lishe ni duni ila umri huo kama mtu yupo healthy hawezi kuwa kibabu. Najua wengi wanaongea hivyo ili kumpa psychological torture na hivyo wanajisikia furaha...

Watoto wa single maza, au nyumba za wake 9 unategemea nini, wamejaa chuki balaa na wazee kama hawa.
 
Iam happy to read this, out of all negativity, mtu anakuja kupata msaada ndiyo anasukumiwa shimoni afe kabisaa
Hawa wenye negativities wana,matatizo ndio maana wanamshambulia,kaka,ila kama baba amefanya kazi yake vizuri,alimo teleza ni mapungufu yetu sote kana,binadamu.kila MTU yake yangeanikwa ingekuwa tunahama dunia.
 
Huyo dada mjinga angemchuna bwana ajitengeneze empire yake atafte mume, sasa inaonyesha mke mzito kiuchumi na mwanaume sasa anaanza kuzeeka na akili ziinamrudia anaona arudi kwa bibi mkubwa wa kuzeeka naye, sasa bibi mdogo akitibua huyu mzee na akistaafu atakufa siku si zake, hafu nyumba za mitala hazijawahigi kuwa na amani loh. Huyu arudi KWA mke mkubwa tu Basi akiendelea na mchepuko atakufa siku si zake,
Ukiona mitala haina Amani jua mwanaume maskini huyoo!ishu sip amani au furaha hapa kutambulika km mke rasmi halali na haki zote za msingi apate.Kingine hao wenye ndoa za mmoja na kama hivi watoto michepuko kama yotee na mwingine ana ndoa kanisani na ana mke kimila mpk watatu hapo furaha iko wapi.

Sisemi wenye mitala kua hawachepuki ila wakichepuko ni ukahaba na hulka maana wamehalalishiwa kuoa wanne kabisaa.huko kumchuna si akili pia uwe nayo..huyo alinogewa akazaa na tena akijipa moyo ataolewa mke wa pili.

Hakuna mume wa mke mmoja tukubali tukatae!Ingawa tunajipa moyo kua miye ni mke wa kanisani siachiki lakini wengi wanaishi for the sake of watoto tu!Kinaaafiki mnooo au Mali maana wakiwaza kugawana mtu anaona kuanza moja itakua jau!Au ndo Mme anakukimbia anadaaanga anarudi akizeeka anasubiri kufa kanisa lisimtenge.
 
50yrs mnamuita babu? You guys are not serious hata kidogo. Amefanya makosa kweli, lakini who are we to judge him, kila mtu ana namna yake amekosea sehemu, msiniambie hadi umri mliofikia hakuna sehemu mlibugi, yaani nyie yamewanyookea katika angle zote za maisha, iwe elimu, afya, mahusiano nk.

Let's not be quick to point fingers coz hata sisi kuna mahali tumeanguka kabisa.
Huyu kadaganya umri Hadi hayo mapicha picha ni baada ya kiunua mgongo kuisha, by the way I'm not judging that's was my opinion kwanini nyie wanaume mnakuwa wakali kwa ujinga wa huu mwanaume mwenzenu ni vile mna michepuko inawanyima raha so msinimalizie Mimi hasira kwa starehe zenu, tena huyu mzee ajakomeshwa vizuri sioni Cha huruma kwa maamuzi yake na starehe zake.
 
Siyo kweli, hiyo empire angeitengeneza vipi, nilimchukulia kama mke hasa, na hana tofauti na mke mkubwa, na sasa hivi naye yupo over 40, ukisema mke mkubwa mzito kiuchumi, mimi naona vile vile sio sawa kwani yeye alikosa nini cha kumfanya asiwe mzito, wote wana nyumba na wote watoto wao wameenda shule,kusema mimi nimezeeka nayo sio kweli, kwa taarifa yaani sasa hivi, Mungu apitishie mbali ndio naanza kuona utamu wa maisha, hiyo naisikilizia hasa, nataka nianze sasa kutalii sehemu mbalimbali,

Na kwa taarifa yake nilikuwa nimejipanga kuzeeka naye kwa kuwa nilishaanza kumtafutia kiwanja huko jirani na kijijini kwetu ili kibeneke liendelee, hata gari ningemnunulia,

Halafu mbona namwona naye kama anamabadiliko ya kiutu uzima kulikomimi, kitu gani kinakufanya umwone yeye ni kijana zaidi yangu,
Kumbuka tumeachana miaka minane tu, ujana wote kamaliza akiwa na mimi, leo hii mimi nikienda Club natoka na mtoto wa 25, na wala haoni aibu kukaa na mimi, vipi yeye anaweza kutoka na mtoto wa 25 na akawa happy, au huyo kijana anaweza kuwa happy.

Ila tatizo lingine kubwa ni nalo liona nyinyi wanawake mna chuki na husuda kwa wenzenu wenye maisha mazuri, na hayo maneno yenu ndio chanson cha kuwaingiza chaka na kuharibu kabisa maisha yao
Hahaaaa....mzeee asante kutupa ukweli wadada
 
Huyu kadaganya umri Hadi hayo mapicha picha ni baada ya kiunua mgongo kuisha, by the way I'm not judging that's was my opinion kwanini nyie wanaume mnakuwa wakali kwa ujinga wa huu mwanaume mwenzenu ni vile mna michepuko inawanyima raha so msinimalizie Mimi hasira kwa starehe zenu, tena huyu mzee ajakomeshwa vizuri sioni Cha huruma kwa maamuzi yake na starehe zake.
Umekuja[emoji849]
 
Pole Sana ndugu,ndoa zinachangamoto nyingi,ila huyo mama kazidi .Amekuchezea mchezo mbaya sana ,unamachungu makubwa Sana ya moyo.Pia hao watoto wa kike tunaozaa kipindi hiki,nao ni stress mojawapo yaani hii dunia hiii .Mungu akulinde ndugu na pia akutetee cha msingi jiepushe nae asije akakupa na maradhi Tena
 
Huyu kadaganya umri Hadi hayo mapicha picha ni baada ya kiunua mgongo kuisha, by the way I'm not judging that's was my opinion kwanini nyie wanaume mnakuwa wakali kwa ujinga wa huu mwanaume mwenzenu ni vile mna michepuko inawanyima raha so msinimalizie Mimi hasira kwa starehe zenu, tena huyu mzee ajakomeshwa vizuri sioni Cha huruma kwa maamuzi yake na starehe zake.
Kadanganya unamjua?

Makasiriko ya maisha yako unaleta kwenye uzi wa watu....
 
[emoji1][emoji1] Bado na wewe unajipooza jinsi mchepuko unakutesa sasa Mimi sio single mother so tulia. Tena wajitetea kwa I'd tofauti
Sijawahi kuwa na ld mbili,am not a Coward kama watu wengine.Mchepuko sina hata mmoja,nimeanza likizo Jana nipo nyumbani na wife,nimetulia.Dini yangu inaruhusu kuoa wake zaid ya mmoja,lakini nafsi yangu haijawahi kuwaza kuishi na wake wawili.Moyo hauwezi kabisa.
 
Back
Top Bottom